Category: Hadithi

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU -50

Ilipoishia jana AKIWA ananyonga ufunguo, kwa mbali alimuona mtu mmoja akitoka ndani ya jengo lile. Mtu huyo alikuwa ameubeba mwili wa binadamu, mwili ambao aliutua na kuupakia kwenye gari. Macho yalimtoka Shazayi alibaki kumtazama mtu yule asilijue lengo lake. SASA ENDELEA Baada ya kuupakia ule mwili, mtu yule aliingia kwenye gari. Akalitoa kwenye eneo la maegesho, akanyonga usukani na kuelekea […]

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU

Ilipoishia Jana Baada ya kiongozi wa mtandao, Mexk Viego kuongea hayo, aliinama chini na kuiokota ile bastola, akampa Ramona aishike kwa mara ya pili. Ramona alishtuka, mapigo ya moyo wake yaliongezeka kasi zaidi ya mwanzo. Alimtazama kiongozi wake kwa sura ya huruma asitake kumuelewa amekusudia nini kumpa silaha aishike kwa mara nyingine. SASA ENDELEA “Ramona wewe ni mwanamke tunayekutegemea sana, […]

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU

Ilipoishia jana “Nikubali kufanya hivi maana sina jinsi, Roika nisamehe na Mungu anisamehe pia. Nikimuua Roika mimi na kazi yangu tutakuwa salama. Siwezi kukubali kujipoteza mimi, wakati mama na mdogo wangu wananitegemea,” alijisemea Ramona wakati akipanda ngazi kuelekea ghorofa ya mwisho. Ulinzi ulikuwa ni mkali tofauti na jana ndani ya jengo hilo la kikundi cha Swaba chenye ushirikiano na watu […]

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU

Ilipoishia jana AKIWA amekaa katika wodi ya watoto,  daktari aliyekuwa akimfahamu Roika alikuwa akipita. Aliamua kumuita na kumuuliza kuhusu Roika. Kwa heshima zote za mtoto wa Rais, daktari alimsogelea Shazayi. “Ni siku ya pili leo simuoni Mr Roika unaweza ukaniambia ni kwanini?” Shazayi aliuliza. SASA ENDELEA “Hata mimi sijui malikia wangu. Na si kawaida yake. Ni mtu ambaye anawapenda sana […]

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU

Ilipoishia jana “Unazidi kuwa jeuri sio? Sasa leo ndio mwisho wa urafiki wetu na ndio mwanzo wa uadui wetu.” Ramona alimsogelea Biyanah, akamtazama kwa huzuni kubwa huku akitokwa na machozi na kisha akamwambia. SASA ENDELEA “Biyanah rafiki yangu, kwanini tufikie huko. Kwanini tuingie katika vita kisa mwanamume? Hebu tuache ujinga. Kumbuka tulikotoka. Tumefanya mengi na watu wanatujua, tulipendana sana. Leo […]

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU

Ilipoishia jana BAADAYE mkutano uliahirishwa, ambapo ulipangwa kuendelea kesho. Wajumbe wote na viongozi wa vikundi vya kigaidi, walikwenda kupumzika makwao, wakiliacha jengo la Swaba kwenye ulinzi mkali. Huku Ramona naye, akirudi hotelini. Alipofika hotelini, aliingia chumbani kwake na kilio kikubwa. SASA ENDELEA Alilia sana na kumlaumu Roika kwanini alimfuatilia katika mambo yake. Alianza kujuta kwanini alikutana na Roika na kwanini […]

UPENDO KUSHINDA UFAHAMU

Ilipoishia jana Ramona alishtuka, alibaki ameduwaa asiyaamini macho yake mawili. SASA ENDELEA… ILIKUWA ni maajabu kwa Ramona kumuona Roika mle ndani. Macho yake yalimtoka, nafsi yake ilishtuka vilivyo, pumzi yake ilisimama kwa sekunde mbili, alibaki kumtazama Roika asiamini kama ndiye yeye Lakini macho yanayomjua Roika na kumpenda, yalikuwa yamesema kweli. Alitamani kulia pindi alipomuona Roika akiwa chini ya ulinzi mkali, […]

Upendo kushinda ufahamu

Ilipoishia jana Roika hakuamini kama anakwenda kukatana uso kwa uso na Ramona, mwanamke ampendaye. Alijiuliza itakuwaje endapo Ramona atajua kuwa yeye alikuwa akimfuatilia.  Alimuomba Mungu wake mara kumi amuepushe na jambo hilo. SASA ENDELEA Lakini dalili za Mungu kumsaidia hazikuonekana mapema, ndiyo kwanza alikuwa chini ya ulinzi mkali, huku akipelekwa kule mkutano ulikokuwa ukifanyika. Alihema juu juu kama mtu anayekwenda […]