Category: Hadithi

Ninja awaachia ujumbe mzito nyota Yanga

NA WINFRIDA MTOI ALIYEKUWA beki wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’, amewatumia ujumbe mzito wachezaji wa klabu hiyo, akiwataka kuchangamkia fursa za kwenda kucheza soka ya kulipwa nje ya Tanzania. Ninja aliyeitumikia Yanga kwa misimu miwili, amesaini mkataba wa miaka minne katika Klabu ya MKF Vyskov ya Jamhuri ya Czech, iliyomtoa kwa mkopo kwa timu ya La Galaxy inayoshiriki Ligi Kuu […]

Dante awapa habari njema Yanga

NA MWANDISHI WETU BAADA ya kurejea katika michuano ya kimataifa, beki wa Yanga, Andrew Vincent, ‘Dante’, amewapa habari njema mashabiki wa timu hiyo, akisema hawataichezea bahati ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga iliyoshika nafasi pili Ligi Kuu Tanzania Bara, imepata nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa, baada ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf), kuongeza idadi ya timu kutoka mbili […]

Uchaguzi Mkuu Yanga… Waliokatwa waitwa

NA ZAITUNI KIBWANA SIKU chache baada ya wagombea wa nafasi za ujumbe katika Uchaguzi Mkuu wa Yanga, Hussein Nyika na Sumuel Luckumay kuenguliwa kwenye mchakato huo, Kamati ya Uchaguzi ya timu hiyo imetangaza wote waliopigwa panga kwenda kukata rufaa. Nyika, Luckumay, Thobias Lingalangala pamoja na Siza Limo ni kati ya waliopigwa panga kwenye uchaguzi huo baada ya kuwekewa pingamizi linalotokana […]

Usimsubirie mwenzako, anza kufanya hivi ili ufurahie mahusiano yako

ASILIMIA 70 ya furaha katika uhusiano wako inakutegemea wewe na asilimia 30 inamtegemea mwenzako. Ila bahati mbaya sana watu wengi katika uhusiano hutafuta furaha zao kupitia wenzao, wakisahau wao ndio hasa chimbuko la kusababisha furaha katika uhusiano wao. Iko hivi. Ndani ya mahusiano furaha huibuka kutokana na matendo yako kwa mwenzako. Kutokana na matendo yako mazuri mwenzako hupata uchangamfu, amani […]

Tajiri wa masikini- 96

Ilipoishia Tajiri Alexender alizikwa hapo, Theresa alilia sana, alikuwa kama kichaa hakuamini kama baba yake alikuwa amemwacha ghafla kiasi hicho. SASA ENDELEA… Salamu za rambirambi ziliendelea kutolewa kutokea kila pande ya dunia, bado huzuni kuu iliendelea kumtesa Theresa. Mamia ya wageni waliendelea kuwepo nyumbani hapo hata baada ya mazishi kupita siku mbili. Muda mwingi niliutumia kumfariji malaika wangu aliyezidi kuzidiwa […]

Wanaume wanatakiwa kuwa macho kuhusu wanawake wa aina hii

IFAHAMIKAVYO mwanamume ni kiongozi kwa mwanamke. Hii si tu ni suala la kijamii, pia hata vitabu vya dini vimezungumzia na kusisitiza hili. Kutokana na ukweli huu, wanaume wengi, hasa wa Kiafrika, wamejikuta wakipenda mno kunyenyekewa na kuogopwa ili wajihisi ni viongozi kweli kwa wandani wao.  Japo suala hili la kuogopwa na wapenzi wao linapendwa sana na idadi kubwa ya wanaume, ila […]

Sultan, Hurrem wanapanga kumuoza Mihrimah kwa Rusteem, mwenyewe hataki

KARIBU tena katika simulizi hii ya tamthilia ya Sultan leo Ijumaa tulivu tuanze ilipoishia. Sultana anafanikiwa kumteka kimahaba Sultan anamsamehe, anamrudisha kwenye jumba la kifalme jambo linalomkwaza mno, Shah Sultana, lakini hana la kufanya kama Gulfem alivyowahi kumweleza kuwa ipo siku Hurrem atarudi kwa kuwa anajua udhaifu wa Sultan katika mapenzi. Baada ya kupanda cheo, Lutfi anaanza mbwembwe za kujigamba […]

Mwanamke hapaswi kufanyiwa hivi kama unahitaji amani

NA RAMADHANI MASENGA MWANAMKE ni binadamu kama mwanaume, anahitaji amani, furaha, kupewa thamani na kuheshimiwa kama anavyohitaji mwanaume. Kosa kubwa wanalofanya wanaume wengi katika mahusiano ni kuwafanya wanawake wao kukosa uhuru na thamani. Unakuta kama ni pesa ya matumizi, mume anampa mke kiwango kile kile anachopaswa bila kuzidisha kiwango chochote. Wanawake wengi katika baadhi ya mahusiano wanaishi maisha yasio na […]

Tajiri wa masikini- 76

Ilipoishia  “Samahani kwa kosa langu najua unafahamu nilifanya vile kwa sababu gani Vanuell. Najua unatambua fika jinsi gani moyo wangu unavyopata tabu juu yako.”  “Hayo yalishapita Lucy yafaa tutazame yajayo,” nilimwambia.  “Nashukuru kwa kunisamehe na kumfanya Theresa anisamehe pia, lakini pamoja na yote hayo bado naumia sana juu yako na sijui nifanye nini?” SASA ENDELEA… “HUNA la kufanya Lucy kwa […]

Aussems: Tumezima jeuri ya Nkana FC

MWAMVITA MTANDA KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, ametamba kuwa wamezima jeuri ya Nkana FC ambao walikuwa wanakidharau kikosi chao kutokana na historia ya muda mrefu wakiamini itajirudia, lakini wamegonga mwamba mikononi mwake. Simba imefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuichapa Nkana FC mabao 3-1 katika mechi ya marudiano iliyochezwa juzi kwenye Uwanja wa […]