Category: Habari

Majembe mawili Simba kuikosa Majimaji

NA MARTIN MAZUGWA SIMBA wanatarajia kuwakosa wachezaji wawili tegemeo, kiungo  Mwinyi Kazimoto na beki wa kati, Method Mwanjale, katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Majimaji, itakayochezwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Mwanjale alipata mchubuko wa nyama katika paja kwenye mechi iliyopita dhidi ya Azam, iliyochezwa Uwanja wa Uhuru na wao kushinda […]

Beki Yanga awataka Ajib, Mavugo Okt. mosi

NA HUSSEIN OMAR BEKI wa Yanga, Pato Ngonyani,  amewaangalia washambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib na Laudit Mavugo na kujiridhisha ataweza kuwazuia katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara itakayochezwa Oktoba mosi, mwaka huu, kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Ngonyani, ambaye  hapati nafasi ya kucheza mara kwa mara katika kikosi cha kwanza cha kocha mkuu wa […]

Winga machachari Simba  amtibua nyongo Omog

NA ONESMO KAPINGA WAKATI  joto la pambano la watani wa jadi, Simba na Yanga likizidi kupanda, winga machachari wa Simba, Jamal Mnyate, ametibua nyongo ya kocha mkuu wa timu hiyo, Joseph Omog, kutokana na kushindwa kuelewa maelekezo  yake katika mazoezi yaliyofanyika juzi kwenye Uwanja wa Boko Veterani,  jijini Dar es Salaam. Simba walifanya mazoezi hayo kujiandaa na mchezo wa Ligi […]

Ni vita Ngoma, Mwanjali Oktoba mosi

NA ZAITUNI KIBWANA ZIKIWA zimebaki siku chache ili tuweze kuona pambano la watani wa jadi, Simba na Yanga, homa ya pambano hilo inazidi kupanda kila kukicha. Ni mechi ambayo inavuta hisia za mashabiki na watu wengine kwa ujumla ambapo kwa mwaka huu kila timu inaonekana kujipanga kisawasawa kwa ajili ya kuibuka kidedea kwenye mchezo huo. Kuelekea mchezo huo utakaochezwa Oktoba […]

Yanga yapanga Vituo vitatu vya mauaji ya Simba

NA MWANDISHI WETU BAADA ya tambo kibao, Oktoba mosi ndiyo siku ya hukumu na mbabe kati ya Yanga na Simba atafahamika siku hiyo pale kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kuelekea kwenye pambano hilo tayari Yanga imepanga vituo vitatu vya mauaji ya watani wao wa jadi, Simba ambao msimu huu wanaonekana kujiimarisha zaidi ya msimu uliopita. Vituo hivyo […]

Simba yaishtukia Yanga mapema, yamficha Ajib

NA HUSSEIN OMAR SIMBA imeshtuka mapema kabisa naimeamua kumficha straika wake tegemeo, Ibrahim Ajib, ili kumwepusha na kadi nyingine ya njano ambayo inaweza kumsababisha akakosa pambano la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Yanga litakalochezwa Oktoba 1, mwaka huu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Ishu kamili iko hivi:-Ajib ana kadi mbili za njano iwapo akipata […]

Wawa anukia Yanga

NA SALMA MPELI MKATABA wa beki wa Azam, Pascal Serge Wawa, na klabu yake unakaribia kumalizika na kuna tetesi kuwa staa huyo wa kimataifa wa Ivory Coast, ananukia kwenye kikosi cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Yanga. Hivi karibuni, Wawa aliwahi kunukuliwa na mtandao mmoja wa michezo nchini akisema kuwa,licha ya mkataba wake Azam kubakisha miezi […]

Mashabiki wataka Mourinho afukuzwe

LONDON, England HALI si shwari kwa kocha, Jose Mourinho, hasa baada ya mwenendo unaoonekana kutowaridhisha mashabiki wa klabu ya Manchester United. Kwa lugha nyepesi na ya kueleweka, kocha huyo ameanza kukumbana na presha ya mashabiki ‘wendawazimu’ wa Old Trafford. Baada ya Sir Alex Ferguson kutundika daluga, David Moyes, alikumbana na presha hiyo kama ilivyokuwa kwa Louis van Gaal ambaye kuondoka […]