Category: Habari

YANGA MAFIA

NA MWANDISHI WETU SASA matajiri wa Yanga wameanza kuonyesha ubabe wao kwenye suala zima la usajili baada ya kudaiwa kumalizana na mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib, wamemgeuzia nguvu kiungo wao Haruna Niyonzima na kumpiga ‘stop’ asimalizane na mahasimu wao hao. Tangu kuvuja kwa taarifa za kudaiwa kurejea kwa matajiri wa klabu hiyo ya Jangwani, Seif Magari na Abdallah Bin Kleb […]

AJIB AWALIZA MSIMBAZI

NA ZAITUNI KIBWANA SIKU moja baada ya gazeti hili kuripoti kuwa mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib amekubaliana na matajiri wa Yanga kutua kwenye klabu hiyo ya Jangwani kwa mkataba wa miaka miwili, shabiki wa Wekundu wa Msimbazi ameshindwa kujizuia na kuangua kilio hadharani. Tukio hilo lilitokea jana karibu na makao makuu ya klabu ya Simba, ambapo shabiki Faraja Ismail aliamua […]

KAKOLANYA: ACHA AJE HUYO MCAMEROON

NA TIMA SIKILO KIPA  wa Yanga, Benald Kakolanya aliyesajiliwa na Yanga katika msimu uliopita wa Ligi Kuu Tanzania Bara, amesema hahofii na ujio wa kipa mpya, Mcameroon Youthe Rostand. Rostand ambaye msimu uliopita alidakia timu ya African Lyon iliyoshuka daraja, ameeleza tayari amesajiliwa na Yanga kwa ajili ya msimu mpya. Akizungumza na BINGWA jana, Kakolanya aliyetokea Tanzania Prisons alisema anamkaribisha […]

KAGERA WASAINISHA WAPYA SABA KWA MPIGO

NA SALMA MPELI KAGERA Sugar wameanza usajili wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa fujo, baada ya kuwasainisha mikataba wachezaji saba kwa mpigo kwa ajili ya msimu ujao. Wachezaji wapya waliosajiliwa ni beki wa zamani wa Simba, Coastal Union na Mbeya City, Juma Nyosso aliyesajiliwa kwa msimu mmoja. Nyosso anatarajia kuonekana kwenye ligi baada ya kufungiwa na Shirikisho la Soka Tanzania […]

AZAM WACHEZA RAFU KWA MBARAKA YUSUPH

NA MAREGES NYAMAKA AZAM FC wamecheza rafu baada ya kumsajili mshambuliaji wa Kagera Sugar, Mbaraka Yusuph anayedaiwa kuwa ana mkataba wa miaka miwili na klabu yake. Kutokana na taratibu na kanuni za usajili, klabu yoyote hairuhusiwi kuanza kufanya mazungumzo na mchezaji mwenye mkataba kabla ya viongozi wake. Klabu inaweza kufanya mazungumzo ya awali na mchezaji akiwa amebakisha miezi sita kabla […]

TFF YANYWEA KWA BMT

WINFRIDA MTOI NA HAPPINESS LWIZA (TSJ) SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF)  limenywea baada ya kuomba kukutana na Baraza la Michezo la Taifa  (BMT) mapema iwezekanavyo, ili kujadili mchakato wa uchaguzi wa shirikisho hilo uliopangwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu. Suala hilo limekuja baada ya Katibu Mkuu wa BMT, Mohammed Kiganja,  kuwatumia  barua TFF ya kusitisha mchakato wa uchaguzi huo uliopangwa […]

YANGA YAMCHOMOA KASEKE SINGIDA UNITED

NA ZAINAB IDDY BAADA ya Yanga kupata tetesi kuwa mshambuliaji wao, Deus Kaseke, alikuwa katika hatua za mwisho za kuangukia saini katika klabu ya Singida United, wenyewe wamewahi fasta na kutibua dili hilo. Kaseke aliyeitumia Yanga katika misimu miwili ya Ligi Kuu Tanzania Bara aliyetokea Mbeya City, huenda wakaendelea kukipiga Jangwani, baada ya klabu hiyo kupanga kumwongezea mkataba mwingine. Habari […]

KUMEKUCHA YANGA… MATAJIRI WAREJEA KUWAKATA NGEBE SIMBA

NA ZAITUNI KIBWANA UNAKUMBUKA mchezo ambao Yanga iliifanyia Simba juu ya Mbuyu Twite mwaka 2012? Kama hukumbuki, ilikuwa hivi: Wakati kila mpenzi wa soka hapa nchini akiamini mchezaji huyo ni mali ya Simba, ghafla bin vuu gazeti moja la michezo lililokuwa likifahamika kwa jina la SuperStar (kwa sasa limesimama), liliripoti kuwa ‘kiraka’ huyo ameyeyuka Msimbazi na kutua Jangwani. Iliripotiwa kuwa […]

MILIONI 100 ZAMPELEKA NIYONZIMA SIMBA

NA SALMA MPELI SIMBA imeamua kufanya kufuru katika usajili wake kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, ambapo inasemekana wametumia dau la Dola 50,000 za Marekani (Sh mil 110) kwa ajili ya kumng’oa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima. Niyonzima ambaye amemaliza mkataba wake na Yanga, yupo nchini kwao Rwanda alipokwenda kuungana na timu yake ya taifa […]