Category: Habari

STRAIKA NDANDA ANUKIA JANGWANI

NA MARTIN MAZUGWA STRAIKA wa Ndanda, Omari Mponda, amesema yupo mbioni kujiunga na Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Klabu ya Yanga kama dili lake litakamilika. Katika msimu uliopita, Mponda  alionekana kuzisumbua Simba na Yanga  ambapo alimaliza akiwa ameifungia klabu yake mabao sita. Akizungumza na BINGWA jana, Mponda alisema kwa sasa bado anaendelea na mazungumzo na Yanga na mambo yakienda […]

KIUNGO MPYA YANGA ATAKA UZI NAMBA TATU

NA SALMA MPELI KIUNGO mpya wa Yanga, Pius Buswita, amesema anahitaji kuvaa jezi namba tatu inayovaliwa na beki wa timu hiyo, Oscar Joshua, katika mechi zijazo za Ligi Kuu Tanzania Bara na mashindano mengine. Akizungumza na BINGWA jana,  Buswita alisema angependa kuvaa jezi hiyo akiwa na kikosi hicho cha Jangwani. “Naipenda jezi namba tatu na ndiyo jezi niliyokuwa naitumia siku […]

STRAIKA MWINGINE KUSAINI MIAKA MIWILI YANGA

NA MARTIN MAZUGWA BAADA ya Yanga kunasa saini ya  Ibrahim Ajib, straika mwingine Rafael Daud kutoka Mbeya City anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka miwili kwa msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Ajib amesaini mkataba wa miaka miwili  baada ya kumaliza kuitumikia Simba aliyoichezea kwa mafanikio makubwa na kuiwezesha timu yake kuchukua ubingwa wa Kombe la Shirikisho hivi karibuni. Yanga […]

HANSPOPE AMALIZA HASIRA ZA AJIB KWA OKWI

NA SAADA SALIM HATIMAYE Simba sasa wana uhakika wa kumtumia mshambuliaji wao wa zamani, Emmanuel Okwi, baada ya Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Zacharia Hanspope, kupanda ndege na kumfuata kwao Uganda na kumalizana naye kila kitu. Ili kuthibitisha kwamba jambo hilo ni la kweli, kiongozi huyo alitupia picha akiwa na Okwi huko Uganda, hiyo ikiashiria mambo yamekwenda kama wenyewe walivyokuwa […]

KABUNDA KULAMBA MKATABA MPYA MWADUI

NA ESTHER GEORGE WINGA wa kushoto wa Mwadui FC, Hassan Kabunda, yupo kwenye mazungumzo ya mwisho ili kuongeza mkataba wa kuitumikia timu hiyo yenye makao yake makuu Mwadui, Shinyanga. Akizungumza na BINGWA jana, Katibu Mkuu wa Mwadui FC, Ramadhani Kilao, alisema mazungumzo kati ya pande hizo mbili yako kwenye hatua nzuri na huenda mchezaji huyo akaendelea kuichezea timu yao. “Kabunda […]

SINGANO AITEGA AZAM FC

NA ZAINAB IDDY WINGA wa Azam FC, Ramadhan Singano, ameuweka mtegoni uongozi wa klabu hiyo baada ya kukwepa kusaini mkataba mpya. Nyota huyo, aliyejiunga na Azam akitokea Simba, amemaliza kandarasi ya miaka miwili ya klabu hiyo iliyo na maskani yake Chamazi, jijini Dar es Salaam. Meneja wa Azam FC, Philipo Alando, alisema hatima ya mchezaji huyo klabuni kwao haijulikani, kutokana […]

YANGA WAMWACHA NJIAPANDA BARTHEZ

NA SAADA SALIM UONGOZI wa Yanga umemweka njiapanda kipa wa timu hiyo, Ally Mustapha `Barthez`, kutokana na hatua yao ya kutomweleza chochote kama utaendelea naye au utaachana naye. Yanga inadaiwa kutokuwa na nia ya kumwongezea mkataba Barthez na badala yake unahusishwa na mpango wa  kumsajili aliyekuwa kipa wa timu ya African Lyon, Youthe Rostand. Barthez ameliambia BINGWA jijini jana kuwa, […]