Category: Habari

‘CANNAVARO’: HATUTAACHIA UBINGWA LIGI KUU BARA

NA SALMA MPELI NAHODHA wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro,’ amesema hawatakubali kuachia ubingwa wa msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara kuondoka Jangwani. Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa ligi hiyo, juzi waliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, jinini Dar es Salaam na kufikisha pointi 56. Akizungumza na BINGWA juzi, […]

MIL. 656 KUSAJILI KIKOSI KIPYA YANGA

NA ZAINAB IDDY WAKATI hivi sasa wadau wa soka wakiwa wamekata matumaini ya kutetea taji lao la Ligi Kuu Tanzania Bara, uongozi wa Yanga unatarajia kutumia zaidi ya milioni 656 kwa ajili ya kusajili wanandinga wapya msimu ujao wa ligi na michuano ya Kimataifa. Kiasi hicho cha fedha kinataraji kutumika kwa ajili ya kusajili wachezaji wapya pekee watakaohitajika na benchi […]

SITA SIMBA WAPO SOKONI, YANGA 11

ZAITUNI KIBWANA NA CLARA ALPHONCE LIGI kuu inaelekea ukingoni ambapo  klabu nyingine yoyote kikanuni inaweza kufanya mazungumzo na nyota ambao mikataba yao inaelekea kumalizika  ndani ya timu zao. Wapo wachezaji wengi wenye majina makubwa kwenye timu kongwe za Simba na Yanga, ambao mikataba yao inaelekea ukingoni ambapo wanaweza kuondoka bure mwishoni kwenye klabu zao mwisho wa msimu. Simba ambao ndio […]

ETHIOPIA KUWANOA WANARIADHA WA TANZANIA

NA LEONARD MANG’OHA SERIKALI ya Ethiopia imeahidi kutoa mafunzo kwa wanariadha wa Tanzania ili kuinua kiwango cha mchezo huo hapa nchini. Ahadi hiyo ilitoplewa na na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Hailemariam Desalegn, alipokutana na mwenyeji wake Rais DkT. John Magufuli katika hafla iliyofanyika Ikulu, jijini Dar es Salaam jana. Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Rais Magufuli alisema kuwa Desalegn […]

OKWI AIGEUKA SIMBA, ATUA JANGWANI

NA ZAITUNI KIBWANA WAKATI Simba ikihaha huku na kule kutaka kumrejesha mshambuliaji wao wa zamani, Emmanuel Okwi ndani ya klabu hiyo, straika huyo amewageuka mabosi hao wa Msimbazi na kutua Jangwani na leo atatua Uwanja wa Taifa wakati mabingwa hao wa Ligi ya Mabingwa Afrika wakiivaa Azam. Okwi, ambaye alivunja mkataba wake na kikosi cha SonderjyskE ya nchini Denmark, ni […]

SIMBA, KAGERA HATUMWI MTOTO DUKANI

SAADA SALIM NA KYALAA SEHEYE GUMZO kubwa kanda ya ziwa kwa sasa katika Ligi Kuu Tanzania Bara ni mechi ya Simba dhidi ya Kagera Sugar, mchezo utakaopigwa katika Uwanja wa Kaitaba, mkoani Kagera. Katika mchezo huo, Simba inahitaji pointi tatu muhimu ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kuendelea kabaki kileleni ambapo tayari amejikusanyia pointi 55, huku Yanga ikiwa nafasi ya […]

MTASHANGAA

HUSSEIN OMAR NA EZEKIEL TENDWA YANGA wamesikia baadhi ya mashabiki wakidai kuwa, watapoteza mchezo wao wa leo dhidi ya Azam kutokana na kukabiliwa na majeruhi ya baadhi ya wachezaji wao muhimu, lakini Wanajangwani hao wameibuka na kudai kuwa watawashangaza wote wenye mawazo hayo. Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, watakuwa na kibarua kigumu mbele ya Azam FC, mchezo […]