Category: Habari

Shimivida waja na bonge la bonanza la michezo

NA MICHAEL MAURUS HAKUNA ubishi, michezo imekuwa ni sehemu muhimu mno katika ustawi wa jamii kwani pamoja na kuimarisha afya ya washiriki, lakini pia ni ajira inayolipa mno. Zamani michezo haikuwa ikichukuliwa kama ajira, badala yake washiriki walilenga kuimarisha afya zao na kutoa burudani. Lakini kadiri miaka ilivyozidi kwenda, michezo imegeuka kuwa chanzo cha ajira, tena inayolipa mno. Michezo ambayo […]

Kumekucha Samatta vs Ali Kiba Juni 2 U/Taifa

NA BRIGHITER MASAKI JUNI 2, mwaka huu, kutakuwa na pambano la soka la kukata na shoka baina ya timu ya mkali wa muziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba dhidi ya ile ya nyota wa Tanzania anayekipiga katika kikosi cha Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta. Mchezo huo wa kirafiki wenye lengo la kukusanya fedha za kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu […]

Shabiki Real Madrid ashinda mil 208.5/- za M-Bet

NA MWANDISHI WETU MKAZI wa Ifakara mkoani Morogoro, Gadi Mwajeka (37) ambaye ni shabiki wa timu ya Real Madrid, ameshinda Sh 208, 574, 790 baada ya kubashiri kwa usahihi mchezo wa Perfect 12 wa Kampuni ya M-Bet. Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi, Mwajeka  alisema hakuamini baada ya kupigiwa simu kuambiwa kashinda kiasi kikubwa cha fedha. Mwajeka ambaye […]

Mgunda apigia hesabu pointi tatu kwa Prisons

NA OSCAR ASSENGA, TANGA KOCHA wa Coastal Union, Juma Mgunda, amesema mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons, utawapa mwanga kuelekea mchezo wa mwisho wa kufunga pazia msimu huu. Akizungumza na BINGWA jana, Mgunda, alisema mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons utakaochezwa kesho kwenye Uwanja wa Mkwakwani, utakuwa ni mgumu kwa kuwa kila timu itahitaji […]

Hamsini: Stand haitatoka salama Nyamagana

NA GLORY MLAY KOCHA Mkuu wa Alliance FC, Malale Hamsini, amesema anaamini kwa maandalizi waliyoyafanya, Stand United haitatoka salama katika mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, utakaopigwa Uwanja wa Nyamagana, jijini Mwanza. Akizungumza na BINGWA jana, Hamsini, alisema kikosi chake kinaendelea vizuri na mazoezi, amefanyia kazi mapungufu yaliyojitokeza katika michezo mitatu waliyocheza na kuhakikisha wanapata pointi muhimu katika mchezo […]

Nado: Tumejipanga kuiaibisha Yanga

NA GLORY MLAY KIUNGO mshambuliaji wa Mbeya City, Iddi Selemani ‘Nado’, amesema wamepania kuiaibisha Yanga kwa kuondoka na ushindi wa pointi tatu, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, utakaochezwa kesho kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na BINGWA jana, Nado ambaye ana mabao 10 kwa sasa, alisema wataingia uwanjani wakiwa na tahadhari kubwa kwani wanajua mchezo […]

Kagere: Nitafikia rekodi ya Mmachinga

NA TIMA SIKILO KUELEKEA kwenye mchezo wa leo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC dhidi ya Singida United, Uwanja wa Namfua, mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere, amesema atatumia vizuri kila nafasi wanayoipata kufunga katika mchezo huo, ili avunje rekodi ya Mohamed Hussein ‘Mmachinga’. Mmachinga anashikilia rekodi ya kufunga mabao 25 katika ligi, ambayo haijavunjwa na mchezaji yeyote mpaka sasa. […]

Hesabu siku tu kumwona Samatta EPL au La Liga

NA HASSAN DAUDI KWA muda mrefu zimekuwa zikisikika taarifa za nyota wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea KRC Genk, Mbwana Samatta, kutakiwa na klabu za Ligi Kuu ya England (EPL) au La Liga. Pale England, Everton iliwahi kuhusishwa na mpango wa kumtaka nahodha huyo wa Taifa Stars, huku Real Betis nayo ikitajwa kwa upande wa La Liga. Hata hivyo, tetesi hizo […]