Category: Featured

Featured posts

OKWI APEWA BAO LA KAGERE LA CAF

HUSSEIN OMARI NA MWAMVITA MTANDA   BAO alilofunga Meddie Kagere wakati akiitumikia timu yake ya Taifa ya Rwanda dhidi ya Ivory Coast wiki iliyopita, limeonekana kumkuna mno Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems na hivyo kuanza kazi ya kulihamishia kwa straika wake, Emmanuel Okwi. Kagere alifunga bao hilo kwa kichwa akiwa pembeni ya lango la wapinzani wao jijini Kigali, akiunganisha […]

WAMEANZA UPYAAA!: KAGERE ANG’ARA SIMBA WAKIIPIGA PRISONS 1-0 U/TAIFA

NA WINFRIDA MTOI                 |                      MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba wameanza vyema harakati zao za kutetea taji lao la ligi hiyo kwa kukusanya pointi tatu muhimu katika mchezo wa fungua dimba dhidi ya Tanzania Prisons uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa, […]

HAZARD AWATOA HOFU MASHABIKI CHELSEA

  LONDON,England STAA Eden Hazard, amesema kwamba ataumalizia msimu huu akikipiga Chelsea, lakini akashikwa na kigugumizi  kutaja  nini kitaendelea baada ya hapo. Tangu zimalizike fainali za Kombe la Dunia mwezi uliopita, nyota huyo wa timu ya Taifa ya Ubelgji alikjuwa hajawahi kusema chochote kama atabaki Stamford Bridge na huku raia mwezake, Thibaut Courtois akiwa ameshahamia  Real Madrid. Hata hivyo dirisha […]

KWA NYONI NA WAWA… SIMBA WATAOKOTA SANA MIPIRA WAVUNI

    NA AYOUB HINJO   TANGU klabu ya Simba irejee kutoka nchini Uturuki walikoweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya, wamekuwa gumzo kubwa kwa wadau wa soka. Msimu uliopita walifanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kukaa takribani misimu mitano bila taji hilo. Kurejea kwao kumefanya kila mmoja achukue muda kuona ni kitu kipi kipya wamerudi […]

CHILUNDA ATAMBULISHWA RASMI HISPANIA

NA FAUDHIA RAMADHANI             |                 ALIYEKUWA mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Idd Chilunda, jana alitambulishwa rasmi katika klabu yake mpya ya Deportivo Tenerife ya nchini Hispania, baada ya kufaulu vipimo vya afya alivyofanya katika Hospitali ya Rambla nchini humo. Straika huyo alitua nchini Hispania juzi na jana alifanyiwa vipimo […]

SIMBA WAONYESHA KIWANGO DHIDI YA KOTOKO

NA ZAITUNI KIBWANA           |      MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, jana wamewapagawisha mashabiki wao waliohudhuria tamasha la tisa la klabu hiyo liitwalo Simba Day, kwa kuonyesha kiwango katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko. Katika mechi hiyo dhidi ya miamba hiyo ya Ghana, ingawa Simba ilisawazisha dakika za majeruhi na kuambulia […]

AJIB AELEZA KILICHOMCHELEWESHA MORO

 SAADA SALIM NA MARTIN MAZUGWA   NYOTA wa timu ya Yanga, Ibrahim Ajib, ameondoa hofu kwa Wanajangwani juu yake na kusema kwamba, kilichosababisha ashindwe kwenda Morogoro ni kutokana na kuumwa malaria. Awali, Ajib alishaanza mazoezi na wachezaji wenzake jijini Dar es Salaam, pia alianzia benchi katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) dhidi ya Gor Mahia, lakini wiki chache […]