Category: Dondoo

Liverpool? Mapema mno kupeleka ubingwa Merseyside

SI jambo linaloshindikana lakini nachelea kusema, tunahitaji muda kidogo kuamini na kuwaaminisha wengine kuwa sherehe za ubingwa zitafanyika mjini Mereseyside, mwishoni mwa msimu huu. Kutokana na aina ya soka lao la kushambulia, mwenendo wao kwenye ligi, uzoefu wa kocha Jurgen Klopp, ubora wa akina ‘Mo’ Salah, hakuna atakayebisha kuwa Majogoo wana nafasi ya ubingwa walioukosa kwa miaka 28. Lakini je, […]

MABEKI WA KULIA WALIOVUMA NCHINI (4)

NA HENRY PAUL Wiki iliyopita BINGWA Jumatatu lilikukumbusha baadhi ya mabeki mahiri wa kulia waliokuwa na uwezo mkubwa wa kucheza safu hiyo, ambao walitamba hapa nchini wakicheza Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (sasa Ligi Kuu), pamoja na wengine hata kuchezea timu ya taifa, Taifa Stars. Ufuatao ni mwendelezo wa baadhi ya wachezaji hao ambao wanakumbukwa hadi leo hii na […]