Category: Chombezo

Hakikisha unayasahau haya uingiapo katika ndoa

KUOA ama kuolewa ni dalili ya mapenzi ya kweli. Ndiyo, wapo watu wanaingia kwenye ndoa bila kupendana, hiyo ni kesi nyingine. Ila uhalisia ni kwamba watu wanaopendana na kuhitajiana kwa dhati katika maisha yao, wanatakiwa kuyaonesha hayo kwa kufunga ndoa. Ukifunga ndoa maana yake unakubali kwa namna yoyote kwamba fulani ni mtu muhimu kwako na utakuwa mwaminifu na kumpa thamani […]

Usiwe hivi baada ya kumkosea mwenzako ni hatari

UKATIKA uhusiano kukoseana ni kitu cha kawaida. Haiwezekani binadamu wawili ama zaidi wakae pamoja na wasitofautiane. Kama mtu mmoja tu anaweza kuwa na fikra mbili zinazokinzana kwa pamoja juu ya jambo moja, vipi watu wakiwa zaidi ya mmoja? Mahusiano mengi yaliyo katika hali mbaya si kwa sababu wahusika wanakoseana, hapana. Ila inatokana na tabia za wahusika baada ya kukoseana. Unayesoma […]

Ni jukumu la kila mmoja kuwa hivi kwa mwenzake

UKWELI ni kwamba mapenzi ni suala linalohitaji kila mmoja ajitoe kwa mwenzake ili ile raha na amani inayotamaniwa na kila mmoja iweze kupatikana. Ukiwa katika mahusiano suala la kujiangalia wewe tu inabidi lisiwepo ikiwa unahitaji furaha na amani. Sasa baada ya kuamua kuingia katika maisha ya ndoa zile habari za safari zisizoeleweka zinabidi zisiwepo tena. Yale mambo ya kufanya huku […]

NJIA BORA, RAHISI YA KUISHI NA MPENZI ALIYE MBALI

MAPENZI ni hisia ambazo hazizuiliwi na mipaka ya nchi ama mabara katika kusafiri kwake. Hisia zinapenya mbele ya uzio wa dini, kabila rangi na vipato, kawaida ya hisia za mapenzi ni kutengeneza daraja na si kujenga ukuta kwa watu. Kama mtu ana hisia halisi za mapenzi juu ya fulani, hujikuta akimthamini, kumjali na kumtakia mengi ya heri bila kujali rangi […]

KUTOJIAMINI KUNAVYOCHANGIA USALITI

NA RAMADHANI MASENGA TUNAPOZUNGUMZIA chanzo cha usaliti tunazungumzia uwanja mpana mno, japo akili na fikra za watu wengi huwa hazipendi kufanya hivyo na huamini suala moja tu kwamba msaliti ni malaya mpenda ngono au pesa. Wengi huwa hawapendi kuangalia vyanzo vya usaliti wenyewe na kutokana na tabia hii, ndiyo maana usaliti bado unaonekana ni tatizo lisilo na mwarobaini. Yote ni kutokana […]

VARDY, KOBE ALIYEBEBA TASWIRA YA LEO MESSI

jamie Vardy hatafika uwezo wa Lionel Messi, lakini ni mmoja kati ya washambuliaji walio hai ambao ni hatari zaidi Ligi Kuu England. Vardy ni mshambuliaji mwenye uwezo mkubwa wa kuchungulia nafasi, akaiomba pasi huku shingo yake ikiwa nyepesi kugeuka na kuangalia mwelekeo wa pasi hiyo anayopewa. Ana kasi akiwa na mpira mguuni mwake, ni mtu mwenye uwezo wa kupiga mashuti […]

CHIRWA ANATAKA KUREJEA YANGA NJAA IMEISHA?

NA WINFRIDA MTOI Mshambuliaji  wa zamani wa timu ya Yanga, Obrey Chirwa, juzi aliibuka kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, wakati Wanajangwani hao walipokuwa wanacheza na Alliance FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Yanga juzi iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 yaliyofungwa na Heritier Makambo, Mrisho Ngassa na Ibrahim Ajib. Chirwa alionekana jukwaani akiwa na viongozi wa […]

YOTE TISA, KUMI WALE KEPU VEDE UBWABWA WATAITA UWAWA BAADA YA GEMU

DOMO LA MFUA JEZI IYENA iyeeena… iyeeeena iyeeeena Mfua jezi nambari wani. Tuimbe wote sasa iyeeena iyeeena Mjezinho hana mpinzani. Teh teh teh mijezi oyeeee… mibukta oyeeee… mibipsi oyeeee… misoksi oyeeee. Bado mi naendelea kutoa salamu asee… Manula oyeeee… Samatta wetu oyeee…. Kwa hapa sasa ngoja nitoe salamu kwa heshima zote. Mashabiki wa Stazi oyeeee… teh teh teh Kepu Vede […]