Category: Burudani

NI KWELI KOFFI OLOMIDE ANATUMIA ‘KIZIZI?’

NA NOAH YONGOLO KARIBU tena kwenye safu hii ya kona ya Bolingo (KB) inayokujia moja kwa moja kutoka ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DR. KB leo iko ndani ya himaya ya mwanamuziki ‘muhenga’ nchini humo, Antoine Christophe Agbepa Mumba maarufu kwa jina la Koffi Olomide. Jina la Koffi Olomide yasemekana alipewa na mama yake kwani alizaliwa siku ya […]

BEN POL : NAINGIA MSITUNI, NIKITOKA HUKO MTAFURAHI

  NA ESTHER GEORGE BERNARD Paul maarufu kama Ben Pol, ameonekana kudumu kwenye muziki kwa muda mrefu tofauti na wasanii wengine wanaovuma na kupotea. Hali hii inaonyesha jinsi gani msanii huyo alivyo na uwezo wa kuimba na kutunga pia, amekuwa akiimarika siku hadi siku. Ben Pol amepitia mambo mengi katika safari yake mpaka kufika hapa alipo, kitu ambacho kinamfanya azidi […]

TIN WHITE MCHEKESHAJI BONGO MOVIE ANAYEWATAKA WASIOJULIKANA

  NA HASSAN DAUDI JINA alilopewa na wazazi wake ni Martin White, lakini mashabiki wake na wale wa sanaa za maigizo kwa ujumla wanamwita ‘Tin White’. Kwa wafuatiliaji wa filamu za vichekesho, huyo ni mmoja kati ya wasanii bora kwao, hasa kwa uwezo wake mkubwa wa kuzivunja mbavu. Ufundi wake wa kucheza na misemo ya Kiswahili utaupata kupitia filamu za […]

QUICK ROCKA: NYIMBO ZA ZAMANI ZINA LADHA AMBAYO SASA HAIPO

  IDADI ya mastaa wa Bongo Fleva wanaomiliki lebo za muziki imeongezeka licha ya chache ambazo zimeweza kuwasimamia wasanii wake ipasavyo kiasi cha kufanya vizuri kwenye muziki huu wenye ushindani. Wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz (WCB), Vanessa Mdee (Mdee Music), Ney wa Mitego (Free Nation), Navy Kenzo (The Industry), Ali Kiba (Kings Music, Rockstar 4000) na Quick Rocka (Switch Music […]

RIHANNA NI MJAMZITO?

LOS ANGELES, Marekani HUENDA zile tetesi za kuwa msanii Rihanna ni mjamzito zina ukweli hasa kwa kile alichokifanya wikiendi iliyopita. Iko hivi, wikiendi iliyopita mwanamuziki huyo alinaswa na kamera za mapaparazi akificha tumbo lake, jambo ambalo limekoleza uvumi kuwa ana ‘kibendi’. Rihanna alitumia jaketi lake kufanya hivyo wakati alipokuwa anatoka kwenye studio moja. Tetesi za mrembo huyo mwenye umri wa […]

DAKTARI AMWEKA PABAYA KAKA YAKE MINAJ

  LOS ANGELES, Marekani KESI ya ubakaji inayomkabili kaka wa mwanamuziki Nicki Minaj, Jelani Maraj, imeendelea kuwa mbaya kwa upande wake. Maraj ana msala wa kumbaka binti mwenye umri wa miaka 11, ambaye ni mtoto wa mkewe, Jacqueline Robinson. Waendesha mashitaka wamedai kuwa Maraj alikuwa akimwingilia dogo huyo si chini ya mara nne kwa wiki mwaka 2015. Juzi, ripoti ya […]

BARNABA, ROMA, MIMI MARS WALIVYOUWASHA MOTO FIESTA SUMBAWANGA

NA MWANDISHI WETU, SUMBAWANGA TAMASHA la muziki la Tigo Fiesta limeendelea mjini Sumbawanga juzi Jumamosi, ambapo wasanii waliopanda jukwaani kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, walifanya shoo ‘bab kubwa’ na kukonga nyoyo za mashabiki wa burudani wa mji huo. Miongoni mwa wasanii waliopagawisha katika tamasha hilo ni msanii anayetajwa kuwa na kipaji cha hali ya juu, Barnaba pamoja na mwanadada Mimi […]

NELLY APONA KESI YA UBAKAJI

LOS ANGELES, Marekani MWANAMKE ambaye alisema amebakwa na mwanamuziki, Nelly, ameifuta kesi hiyo mahakamani kwa mujibu wa vyanzo vya habari. Mwishoni mwa wiki iliyopita, mkali huyo wa hip hop alifunguliwa mashtaka, akitajwa kufanya unyama huo kwenye gari alilokuwa nalo kwenye ‘show’. Kwa mujibu wa mwanasheria wa mama huyo, Karen Koehler, mteja wake amesema hatasimama mahakamani kumkazia staa huyo kwa kuwa […]