Category: Burudani

ASLAY KUZISAMBARATISHA TEAM KIBA, TEAM DIAMOND LEO?

NA JESSCA NANGAWE HITIMISHO la msimu wa Tigo Fiesta unatarajia kuhitimishwa leo kwenye viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam, huku mashabiki mbalimbali wakisubiri kwa hamu kuhudhuria tukio hilo la kihistoria kwenye kiwanda cha burudani. Pamoja na kutokuwapo kwa msanii wa kimataifa kama ilivyozoeleka, lakini mashabiki wa burudani wameonekana kuridhishwa na wasanii wa hapa nyumbani ambao soko la ushindani […]

LULU DIVA: SITATUMBUIZA ILA NITAKUWEPO FIESTA

NA CHRISTOPHER MSEKENA UFUATIA ufinyu wa muda uliopelekea baadhi ya wasanii kutotumbuiza kesho kwenye tamasha la Fiesta akiwemo, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’, msanii huyo amesema atahudhuria kuwatazama mastaa wengine wakiangusha burudani. Staa huyo wa singo ya Utamu, ameliambia Papaso la Burudani kuwa ilikuwa ni ndoto yake kutumbuiza kwenye kilele cha tamasha hilo linalofanyika kesho kwenye viwanja vya Leaders Club, lakini […]

MNAKUM AIAMINIA ‘TANGULIA MBELE’

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya mwimbaji wa nyimbo wa Injili, Godfrey Mnakum, kutoa wimbo wake, Tangulia Mbele, amesema ana matumaini utamtambulisha vyema kwenye tasnia. Akizungumza na Papaso la Burudani jana, Mnakum alisema ana imani na wimbo huo kumtambulisha vyema kwa sababu una tungo zinazohitajika na mashabiki wa Gospo. “Najiamini zaidi katika utunzi, nina tungo ambazo zimebeba ujumbe mzuri […]

DK. SHIKA ANOGESHA KIBA-100 YA ROSTAM

NA CHRISTOPHER MSEKENA STAA mpya kwenye tasnia ya burudani Bongo, Dk. Louis Shika, ameendelea kupata dili baada ya kunogesha video mpya ya Rostam (Roma Mkatoliki na Stamina) waliomshirikisha Maua Sama inayoitwa Kiba-100, iliyotoka juzi. Akizungumza na Papaso la Burudani, Stamina alisema umoja wao (Rostam), umedhamiria kuendelea kudondosha burudani kwa mashabiki ndiyo maana baada ya kutoa, Hivi Ama Vile, wameibuka na […]

WASANII WAAHIDI KUKINUKISHA FIESTA 2017 LEADERS CLUB KESHO

>>Milango kufunguliwa saa sita mchana, ulinzi bab kubwa, shoo hadi usiku wa manane NA MWANDISHI WETU MSIMU wa shamrashamra za muziki na utamaduni katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati wa tamasha la Tigo Fiesta 2017, wenye kaulimbiu ya ‘Tumekusoma’, unatarajiwa kuhitimishwa kesho kwenye viwanja vya Leaders Club, Dar es Salaam, ukihusisha wasanii zaidi ya 18. Akizungumza na waandishi wa […]

CHEMICAL KUTUMIA ‘DEGREE’ YAKE KWENYE MUZIKI

NA CHRISTOPHER MSEKENA RAPA mahiri wa kike kwenye muziki wa Bongo Fleva, Claudia Lubao ‘Chemical’, amesema shahada yake ya kwanza ya sanaa na ubunifu aliyoipata wiki hii katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ataitumia kuboresha tasnia nzima ya muziki. Akizungumza na Papaso la Burudani, Chemical alisema masomo yalikuwa yanambana na kufanya apoteze baadhi ya vitu lakini hivi sasa […]

ASLAY: FIESTA 2017 IMENIBEBA KINOMA

Awafagilia wakazi wa Arusha kwa kumchizisha NA MWANDISHI WETU TAMASHA la Tigo Fiesta 2017 lenye kaulimbiu ya ‘Tumekusoma’, linatarajiwa kuhitimishwa jijini Dar es Salaam Jumamosi hii kwenye viwanja vya Leaders Club, huku wasanii mbalimbali wakali hapa nchini wakisubiriwa kufanya shoo ‘bab kubwa’. Miongoni mwa wasanii wanaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa muziki na burudani kwa ujumla wa Dar es Salaam […]

UBORA WA SANAA ZAO UMEWABEBA KISIASA

NA WINFRIDA MTOI UBORA wa kazi siku zote ndio kinachomfanya mtu akubalike sehemu yoyote, iwe ofisini, nyumbani au katika jamii inayomzunguka. Ni wazi kuwa unapofanya jambo zuri katika jamii, inakufanya ujikusanyie mashabiki wengi, huku wakifuatilia hatua kwa hatua kwa kile unachokifanya na unapokwenda tofauti na matarajio yao lazima watakukimbia Kazi ya sanaa hasa muziki na filamu ni moja ya sehemu […]

BELL 9: NATUNGA SHERIA NITARUDI KWA KISHINDO

NA ESTHER GEORGE WAHENGA walisema ukimwona kobe kainama ujue anatunga sheria. Ndivyo ilivyo kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abelnego Damian maarufu kama Bell 9, ambaye licha ya kuwa na kipaji cha kutunga nyimbo nzuri zenye ujumbe wa mapenzi katika jamii, lakini kwa siku za karibuni amekuwa hasikiki japo alikuwa akitamba vilivyo. Japo nyimbo zake nyingi zimekuwa zikipendwa na […]

MADONNA AORODHESHWA KWA WAKWEPA KODI

LONDON, England STAA wa muziki wa Pop duniani, Madonna, naye ameripotiwa kuorodheshwa kwenye orodha ya nyota ambao wanakabiliwa na kashfa ya ukwepaji kodi. Kwa mujibu wa nyaraka zilizovuja  mwishoni mwa wiki iliyopita, staa huyo sambamba na wenzake, Justin Timberlake  na Nicole Kidman, wanaripotiwa kutumia majina yao ili kukwepa kodi katika shughuli ambazo wamekuwa wakizifanya. Taarifa hizo zinaeleza kuwa nyota hao […]