Category: Burudani

SKALES AMBWATUKIA RAIS BUHARI

LAGOS, Nigeria MWANAMUZIKI Skales amembwatukia Rais Muhammadu Buhari, akisema ni kiongozi kimeo kuwahi kuiongoza Nigeria. Skales aliyasema hayo wiki iliyopita kupitia akaunti yake ya mtandao wa Twitter. “Buhari ni Rais kimeo duniani ….unyanyasaji unatakiwa kukoma…ulitudanganya, naipenda nchi yangu na nataka ipige hatua,” aliandika katika ukurasa wake wa mtandao huo wa kijamii. Hata hivyo, itakumbukwa kuwa Skales si msanii wa kwanza […]

NURU THE LIGHT KUJA NA KITABU

SIKU chache baada kuachia wimbo wake, Umeniacha, msanii wa muziki nchini, Nuru Magram ‘Nuru The Light’, anatarajia kuja na kitabu kitakachobeba siri nyingi za maisha yake. Nuru ameliambia Papaso la Burudani kuwa, tayari ameanza kuandika kitabu hicho ambacho ndani yake atafunguka mambo mengi zikiwamo ishu za mapenzi, maisha na alipotaka kugharimu maisha yake kisa muziki. “Nimeanza kuandika kitabu ambacho nitakuwa […]

NYOSHI EL SADAAT AITABIRIA MAKUBWA BOGOSS MUSICA

NA CHRISTOPHER MSEKENA BAADA ya kujiweka pembeni ya Fm Academia, mwanamuziki mahiri wa dansi nchini, Nyoshi El Sadaat, ameitabiria makubwa bendi yake mpya inayoitwa, Bogoss Musica. Rais huyo wa Bogoss Musica ambaye ameiongoza bendi ya Fm Academia kwa muda wa miaka 20, ameliambia Papaso la Burudani kuwa hivi sasa yeye na wanamuziki wake wapo chimbo wanajipanga kuja kutikisa tasnia ya […]

MAYWEATHER: NATAKA MPUNGA TU 2018

LOS ANGELES, Marekani BONDIA Floyd Mayweather amefichua mipango yake ya mwaka huu akisema ni kutengeneza fedha tu. Mayweather mwenye umri wa miaka 40, alidai kuwa anataka kuutumia mwaka 2018 kuongeza kiasi chake cha fedha kilichopo benki. “Kila mtu anasema ‘Heri ya Mwaka Mpya’…Mimi napenda kupata fedha mpya kila mwaka!” aliandika Mayweather katika ukurasa wake wa Instagram. Kabla ya pambano lake […]

AMBER LULU: NIACHIENI PREZZO WANGU

NA JEREMIA ERNEST VIDEO vixen na msanii wa Bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’, amewataka mashabiki wasimhusishe mpenzi wake mpya, Prezzo, kutoka Kenya kwa kumfananisha na rapa mdogo, Young Dee. Amber Lulu amesema anachukizwa na baadhi ya watu wanaomfananisha mpenzi wake huyo na Young Dee kwani wawili hao ni watu tofauti na hawafanani chochote. “Wasimfananishe mume wangu na watu wengine, […]

SHAVU LA VANESSA MDEE UNIVERSAL MUSIC USIPIME

NA CHRISTOPHER MSEKENA NYOTA wa  Bongo Fleva, Vanessa Mdee, amesema dili lake jipya na lebo ya Universal Music Group kwa ushirikiano na Universal Music Germany na Airforce 1, itazidi kuupeleka mbali muziki wa Tanzania kwa kuwa yeye ndiye msanii pekee Afrika mwenye bahati hiyo. Vee Money ameliambia Papaso la Burudani kuwa lebo ya Universal Music Group ni kubwa duniani, ina […]

WADAU OKOENI JAHAZI FAINALI MISS TANZANIA 2017

NA ESTHER GEORGE FAINALI za Miss Tanzania 2017 zilipangwa kufanyika Novemba mwaka huu, lakini hadi sasa hazijafanyika kutokana na ukata unayoikabili kampuni ya Lino International Agency ambao ni waandaaji wa mashindano hayo. Hali hiyo imefanya mashindano hayo kushindwa kufanyika kwa wakati na muda sahihi uliopangwa hivyo kuwaweka njiapanda wadau wakibaki katika hali ya sintofahamu. Japo shindano hilo ni muhimu katika […]

MC PILIPILI: MVUNJA MBAVU ANAYEZIDI KUPAISHWA KIMATAIFA

*Churchill, Trevo Noah nao wampigia saluti NA JESSCA NANGAWE UNAPOTAJA jina la Emmanuel Mathias maarufu kama Mc Pilipili, hapo unamzungumzia mchekeshaji mahiri wa hapa nchini anayefanya vizuri mno akitikisa hadi nje ya mipaka ya Tanzania. Umahiri Mc Pilipili katika sanaa yake umemfanya kupata mialiko mbalimbali ndani na nje ya nchi, ambayo imemsaidia kuzidi kujitangaza zaidi huku akijiwekea mikakati mipya ya […]

‘HATUACHANI’ YA RAY C YAMFIKIA DON JAZZY

NA CHRISTOPHER MSEKENA BAADA ya kuusifia wimbo wa Chura ulioimbwa na Snura, bosi wa lebo ya Mavin Records ya huko Nigeria, Don Jazzy, ameimwagia sifa ngoma mpya ya Rehema Chalamila ‘Ray C’, inayoitwa Hatuachani. Akizungumza na Papaso la Burudani, Ray C, alisema Don Jazzy alimtumia ujumbe wa kumpongeza katika ukurasa wake wa Instagram (DM), jambo ambalo limempa nguvu ya kuendelea […]

RAYVANNY, DERULO, MONTANA KUTIKISA DUNIA

NA CHRISTOPHER MSEKENA STAA wa Bongo Fleva, Rayvanny, ameahidi kufanya vizuri kwenye anga la kimataifa baada ya msanii nyota wa Marekani, Jason Derulo, kumshirikisha kwenye toleo mbadala (remix) ya wimbo wake wa Tip Toe. Wimbo huo ambao awali, Jason Derulo, aliutoa mwanzoni mwa mwezi huu na mpaka sasa hivi video yake imetazamwa na watu milioni 10, umerudiwa tena huko Los […]