Category: Burudani

Wasauzi wawaandalia ulingo  Diamond vs Kiba

SI unaijua vita ya wakongwe, Nassib Abdul ‘Diamond’ na Ali Kiba, basi imeanza upya baada ya Wasauzi kuwateua kwenye kinyang’anyiro cha tuzo za MTVBase, zitakazofanyika nchini Afrika Kusini kuanzia Oktoba 2. Tuzo hizo zinafanyika kila mwaka, ambapo kwa mwaka huu Watanzania mbalimbali wamepata bahati ya kuingia kwenye vipengele kadhaa kwenye tuzo hizo. Diamond, ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa […]

Lulu ni mke mtarajiwa

HABARI ZOTE NA ZAITUNI KIBWANA MWIGIZAJI wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, juzi aliwaacha mashabiki wake kwenye maswali mengi baada ya kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii kumpa hongera kwa kufanikiwa kuvishwa pete ya uchumba. Lulu, ambaye kwa sasa ameamua kutoweka kitu chochote kwenye ukurasa wake wa Instagram,  inasemekana amevalishwa pete ya uchumba na mchumba wake wa muda mrefu, […]

Mastaa wa kike ambao ni mfano wa kuigwa ‘Bongo’

Na Happyglory Urassa WANAPOZUNGUMZIWA mastaa wa kike hapa Bongo wanaojihusisha na mambo mbalimbali wapo wengi sana ingawa wengine wamesahaulika kwa sasa, lakini bado wakitokea kwenye jamii wanaheshimika kutokana na vitu au kazi walizowahi kufanya hapo awali. Baadhi ya mastaa hao wamejaribu kuhakikisha kuwa ‘status’ yao haishuki na wanatumia majina yao ipasavyo kujiendeleza kiuchumi, lakini pia kuisaidia jamii na si kuwa […]

NAVY KENZO: UHUSIANO KWA MIAKA 8 NI ZAIDI YA NDOA  

NA BEATRICE KAIZA BAADA ya wiki iliyopita mashabiki kutuma ‘sms’ nyingi wakilihitaji hapa kundi la Navy Kenzo, linaloundwa na wasanii wawali ambao pia ni wapenzi, Aika na Nahreel kama mlivyotaka, na sisi tumefanya hivyo hivyo. Jiachie na Staa wako liliwasaka wasanii hao na kufanikiwa kuwapata na kuwamwagia maswali yenu na mambo yakawa hivi: Swali: Naitwa Nicholaus Sabuni wa Mbezi Beach, […]

Christian Bella awapa ushauri wanaume

NA KYALAA SEHEYE, MKALI wa muziki wa dansi nchini, Christian Bella, amewashauri wanaume kuwa na moyo wa kusamehe, hasa pale wapenzi wao wanapotenda makosa makubwa yanayosababisha kuvunjika kwa uhusiano. Bella ameliambia Papaso la Burudani kuwa wimbo wake unaoitwa Amerudi, ulikuwa na lengo la kutoa elimu kwa wanaume ambao huwa hawatoi msamaha pale wanapoachwa, kisha mwanamke huyo akarudi tena akiomba warudishe […]

Ali Kiba alipania jukwaa la MTV MAMA 2016

NA WINFRIDA MTOI, SIKU kadhaa baada ya uongozi wa runinga ya MTV Base inayoandaa tuzo za MTV MAMA 2016, kumtangaza nyota wa Bongo Fleva, Ali Kiba kuwa ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza, mkali huyo amesema amejiandaa vyema. Akizungumza na Papaso la Burudani, Ali Kiba, ambaye pia anawania tuzo ya Wimbo Bora wa Kushirikiana kupitia wimbo wake na Sauti Sol unaoitwa […]

Mastaa kibao kuwania tuzo nchini Ghana

NA MWANDISHI WETU, NYOTA 8 wa Bongo Fleva wametajwa kuwania tuzo za video za WatsUp Tv Africa Music Video Awards (WAMVA16) za nchini Ghana, zinazoandaliwa na kituo cha runinga cha WatsUp. Tuzo hizo ambazo hutolewa kwa video za wasanii mbalimbali Afrika zilizofanya vizuri mwaka huu, zimemtaja Vanessa Mdee, Diamond Platnumz, Alikiba, AY, Mayunga, Navykenzo, Harmonize na Rayvann. Vipengele walivyong’aa mastaa […]

Meek Mill VS The Game Ni vita ya simba na chui

LAS VEGAS, Marekani MOJA kati ya taarifa zinazoendelea kuisumbua mitandao ya kijamii ni zile zinazohusu ‘bifu’ kati ya mastaa Meek Mill na mwenzake, The Game. Kwa wanaofahamu historia ya wasanii hao tangu walipoingia kwenye ‘game’, watakiri kuwa vita sasa imepata wapiganaji kama si upele kupata mkunaji. Unajua kwanini? Hata kabla ya kuvaana wenyewe kwa wenyewe, kila mmoja kwa wakati wake […]

DAUDI DUMA: Amepania kuivusha Bongo Movie kimataifa

NA DANFORD MATHIAS (TUDARCO) KADIRI siku zinavyokwenda tasnia ya filamu nchini inazidi kukua kwa kasi siku hadi siku, hii inatokana na juhudi na ubunifu wa wasanii ambao kila siku wanajiongeza ili kukata kiu ya mashabiki wao ndani na nje ya nchi. Jina la Daudi Michael ‘Duma’, si geni kwa mashabiki na wapenzi wa filamu nchini. Uigizaji wake wa hali ya […]

20 Percent ahofia kuzeeka masikini

NA ESTHER GEORGE MSANII wa Bongo Fleva, Abas Kinzasa ‘20 Percent’, amewaasa vijana kuwa na matumizi sahihi ya fedha, kuepuka starehe zisizo na maana kwani ujana una mwisho wake. Akizungumza na Papaso la Burudani, 20 alisema yeye anahofia kuzeeka akiwa masikini, ndiyo maana yupo makini katika matumizi ya fedha kipindi hiki cha ujana ili atakapozeeka asipate tabu. “Haya maisha ni […]