Category: Burudani

Lulu Diva, Wakazi hapatoshi Kigamboni mkesha wa Pasaka

NA MWANDISHI WETU KATIKA kusherehekea mkesha wa Sikukuu ya Pasaka, mamia ya mashabiki wa Bongo Fleva wanaoishi Kigamboni, Dar es Salaam, wanatarajia kupata burudani ya nguvu kutoka kwa Lulu Diva na rapa Wakazi. Mratibu wa onyesho hilo, Mbwana Khamis, alisema wasanii hao watadondosha burudani katika klabu ya usiku ya Jembe One kuanzia saa mbili usiku na kuendelea. “Mbali na Lulu […]

Kampuni zilizoiingia mikataba na Kanumba, Majuto kuzilipa familia zao

Mwandishi Wetu Kampuni ya Steps Entertainment imeshamkabidhi Mama wa  muigizaji marehemu, Steven Kanumba malipo ya ziada ya Sh milioni 15 baada ya kugundulika kuwa iliingia mkataba mbovu na msanii huyo. Pia kampuni hiyo imeahidi kushirikiana na mama yake Marehemu Kanumba, kuandaa filamu ya maisha ya mwanawe huyo. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, […]

Lulu: Hakuna ninachojutia kwenye maisha yangu

NA MWANDISHI WETU MWIGIZAJI nyota nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amesema hakuna jambo  lolote analojutia kwenye maisha yake kwa kuwa yamemjenga na kuwa imara kama alivyo sasa. Akizungumza jana na kipindi cha XXL ya Clouds Fm, Lulu alisema anaamini katika mambo mazuri na mabaya aliyoyafanya yamekuwa na mchango mkubwa kwenye maisha yake ya sasa. “Kiukweli hakuna ninachojutia kwenye maisha yangu, sababu […]

WANATOKA

W*Solskjaer apanga kufanya maajabu Camp Nou, kocha Barca ampiga kijembe *Ajax ‘full’ mzuka unaambiwa, Juve kukomaa mwanzo-mwisho CATALUNYA, Hispania USIKU wa Ulaya umerejea tena, moto ni uleule katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa vigogo wa nchini England, Manchester United, kushuka uwanjani leo watakapokuwa wageni wa Barcelona. Wiki iliyopita timu hizo zilipokutana, Barcelona walifanikiwa kushinda bao 1-0 […]

Khadija Yusuph arudi kundini kuokoa Jahazi

NA JEREMIA ERNEST MWANAMUZIKI nyota wa taarabu nchini, Khadija Yusuph, ameamua kurudi tena katika bendi pendwa ya muziki huo, Jahazi Modern Taarab ili kuiweka tena kwenye ramani kama ilivyokuwa zamani. Akizungumza na Papaso la Burudani jana, Khadija alisema anarudi kundini kuiokoa bendi ya Jahazi ambayo imekuwa ikishuka kadiri siku zinavyokwenda toka mwasisi wake Mzee Yusuph aache muziki. “Tumerudi katika bendi […]

Jay Z aunda mfuko kusaidia familia ya Nipsey

LOS ANGELES RAPA Shawn Carter, maarufu kama Jay Z, ameunda mfuko ambao atachangia kiasi cha dola za Marekani milioni 15, ambazo ni zaidi ya Sh bilioni 34.7 kwaajili ya kusaidia watoto wa marehemu Nipsey Hussle, aliyefariki dunia wiki hii kwa kupigwa risasi huko Los Angeles, Marekani. Jay Z, ambaye alimsaini Nipsey katika lebo yake ya Roc Nation, ameweka wazi kuwa […]

Wasafi Festival kuzinduliwa leo Oman

MUSCAT, OMAN WASANII wanaounda lebo ya WCB, Diamond Platnumz, Rayvanny, Mbosso, Lavalava, Harmonize, Queen Darleen na RJ The Dj, wanatarajia kukonga nyoyo za mashabiki wao katika tamasha la Wasafi linalozinduliwa leo katika bustani za Intercontinental, Muscat, Oman. Hatua hiyo imekuja baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), kuwapa ruhusa ya kuendelea na tamasha hilo Januari 22, mwaka huu, baada […]

Ferooz asimulia kupoteza mil 100/- kwenye madini

NA JEREMIA ERNEST MKONGWE wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa ukiwamo wa  Starehe, Feruzi Mrisho ‘Ferooz’, amesema alipotea kwenye muziki baada ya kujiingiza kwenye biashara ya madini iliyompotezea fedha nyingi. Akizungumza na Papaso la Burudani, Ferooz alisema kwa sasa amerudi tena na wimbo wake mpya wa Mapigo ambao ameufanyia maboresho makubwa ya utunzi na uimbaji, hivyo anaamini mashabiki […]

Anayedaiwa kumuua Nipsey Hussle akamatwa

LOS ANGELES, MAREKANI MTUHUMIWA namba moja wa mauaji ya Nipsey Hussle, Eric Holder, ametiwa nguvuni na idara ya polisi mjini Los Angeles, Marekani, akituhumiwa kummiminia risasi zaidi ya tano rapa huyo Machi 31, mwaka huu. Eric Holder ambaye ni miongoni mwa vijana wanaotokea kwenye vikundi vya kihalifu Los Angeles, alitiwa nguvuni saa chache baada ya polisi kuachia ‘footage’ za cctv […]

Vanessa Mdee na prodyuza wa Beyonce wafanya jambo

CALIFORNIA, MAREKANI MREMBO anayeendelea kufanya vyema kwenye Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’, ameingia studio kufanya kazi na mtayarishaji maarufu wa muziki duniani, Nick Cooper, anayefanya kazi na mastaa kama Beyonce, Nick Minaj na J Lo huko California, Marekani. Vee Money ambaye yupo kwenye ziara yake ya kimuziki nchini humo, juzi aliwajuza mashabiki zake kuwa amefanikiwa kuingia kwenye studio hizo […]