googleAds

Beki Leeds agoma kurudi Torino

LONDON, England
BEKI anayekipiga kwa mkopo katika klabu ya Leeds United, Pontus Jansson, anatarajia kupata uhamisho wa moja kwa moja klabuni hapo akitokea Torino.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 25, alitua Leeds wakati wa dirisha la usajili la majira ya kiangazi na sasa amekuwa mmoja wa wachezaji wanaokubalika na mashabiki wa klabu hiyo.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*