googleAds

Barcelona yazipiku Real Madrid, Man United

CATALUNYA, Hispania 

BARCELONA ni klabu inayoongoza kwa kufuatiliwa zaidi na mashabiki wa soka kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter, ikiwapiku vigogo wengine zikiwamo Real Madrid na Manchester United.

Miamba hao wameshika nafasi ya kwanza, ikifuatiwa na Real Madrid, huku nafasi ya tatu ikikamatwa na Man United wakati Liverpool ni ya nne.

Timu pekee ya mpira wa kikapu ya Los Angeles Lakers, imeingia katika 10 bora  ya klabu ambazo hufatiliwa kwa ukaribu kwenye mitandao ya kijamii ikiwamo Twitter na mashabiki.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*