Author: Bingwa

Henry atabiri mafanikio ya Mbappe Ufaransa

PARIS, Ufaransa GWIJI la Ufaransa, Thierry Henry, anaamini kuwa hakuna mchezaji wa kumpiku Kylian Mbappe katika uwezekano wa kuvunja rekodi yake ya ufungaji bora wa miaka yote katika timu ya taifa hilo. Hadi anastaafu kuitumikia timu ya Taifa ya Ufaransa, Henry aliacha rekodi ya kupachika mabao 51, lakini Mbappe, mwenye umri wa miaka 20, tayari ana mabao 13 bila kusahau […]

Wenger aula FIFA, Bayern njia panda

LONDON, England KOCHA wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger, amepokea kwa mikono miwili kibarua cha kusimamia maendeleo ya soka ulimwenguni katika Shirikisho la Soka Duniani (FIFA). Wenger ataingia ofisini kwa mara ya kwanza ikiwa ni baada ya miezi kadhaa tangu alipostaafu kuinoa Arsenal mwishoni mwa msimu wa 2018-19, baada ya kudumu hapo kwa muda wa miaka 22. Kabla ya kutangazwa […]

Kocha Marekani tumbo joto kumkosa Pulisic

NEW YORK, Marekani KOCHA wa Marekani, Gregg Belhater, amethibitisha kumkosa mshambuliaji wake, Christian Pulisic, katika mechi za Ligi ya Mataifa ya Amerika ya Kati na Caribbean dhidi ya Canada na Cuba kutokana na kusumbuliwa na nyonga. Tatizo hilo lilimkumba winga huyo wa Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu England ambao klabu yake hiyo iliichapa Crystal Palace mabao 2-0. “Ni rasmi, […]

Walikuwa vituko dimbani, sasa wanapigiwa makofi

LONDON, England SOKA lina kawaida moja, kuna wachezaji huyaanza maisha yao kwa kasi na mafanikio makubwa ambayo hayajulikani mwisho wake ni lini, mfano mzuri ni Kylian Mbappe. Halafu kuna wale ambao safari yao huwa ni ndefu na yenye hadithi iliyopunjwa utamu. Mara nyingi huibuka baadaye na kuwa mastaa wa dunia baada ya kuongeza kitu katika ubora wao wa awali. Hapa […]

Ebitoke, Mlela wapewa onyo

JEREMIA ERNEST CHAMA cha Waigizaji Kinondoni, kimewapa onyo wasanii, Yusuph Mlela na Anastazia Exavery ‘Ebitoke’, kwa tukio walilolifanya mbele ya vyombo vya habari mwanzoni mwa wiki hii. Akizungumza na Papaso la Burudani,  Msemaji wa chama hicho, Masoud Kaftani alisema wamewahoji wote wawili na wamegundua ni matatizo yao binafsi na kwa kuwa ni kosa lao la kwanza, wamepatanishwa na kupewa onyo […]

Idris amwomba radhi Rais Magufuli

JEREMIA ERNEST MCHEKESHAJI mahiri nchini, Idris Sultan, amemwomba radhi Rais Dk. John Magufuli kama atakuwa amekerwa na kitendo chake cha kuhariri picha ya kiongozi huyo na kuiweka mtandaoni. Akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana, Idris alisema hakudhani kama kitendo hicho kitapokewa kwa mitazamo tofauti kwani huwa anafanya kwa watu na viongozi mbalimbali. “Wengi wetu tunaweza kufanya […]

John Legend mwanaume mwenye mvuto zaidi

CALIFORNIA, MAREKANI JARIDA la People’s Magazine, limemtaja mkali wa RnB nchini Marekani, John Legend, kuwa mwanamume mwenye mvuto zaidi duniani (Sexiest Man Alive 2019), akichukua nafasi ya mwigizaji Idris Elba aliyepewa taji hilo mwaka jana. Legend mwenye umri wa miaka 40, amepokea pongezi kutoka kwa mastaa mbalimbali, huku mke wake, Chrissy Teigen akitamba na kujivunia kuwa na mume mwenye mvuto […]

Kila la heri Taifa Stars, tupo nyuma yenu

MWANDISHI WETU LEO timu ya Tanzania,Taifa Stars, itashuka kwenye Uwanja wa Taifa,Dar es Salaam kucheza na Guinea ya Ikweta ukiwa ni mchezo wa kwanza wa kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2021), itakayochezwa nchini Cameroon. Taifa Stars inaanza kusaka tiketi nyingine ya AFCON  baada ya mwaka huu, kushindwa kufanya vizuri  katika michuano hiyo iliyofanyika nchini Misri […]

Maisha yazidi kunogo mshindi SportPesa Jackpot

MWANDISHI WETU  ZAIDI ya shilingi milioni 412 alizoshinda baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 13 kwenye Jackpot ya SportPesa mwishoni mwa mwezi Agosti mwaka huu, zimezidi kubadilisha maisha ya Magabe Matiku kutoka Mkoa wa Mara.  Matiku mwenye umri wa miaka 31 na Kingsley Pascal, waligawana donge nono la SportPesa Jackpot na baada ya miezi miwili, aliwaelezea wawakilishi kutoka kampuni hiyo […]

Mgosi amkuna Aussems, amtabiria makubwa

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, amemwagia sifa mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo, Mussa Hassan ‘Mgosi’, kutokana na uwezo mkubwa alioonesha wa kuongoza mazoezi yake yaliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam. Mgosi ambaye ni kocha wa timu Simba Queens, yupo katika mafunzo ya vitendo ya wiki moja, akisomea kozi ya ukocha ya leseni […]