Author: Bingwa

ANS AREMEYAW ANAVYOWAUMBUA WALARUSHWA SOKA AFRIKA

ACCRA,Ghana HABARI za uchunguzi ni moja ya eneo ambalo waandishi wengi wa habari wamekuwa wakijichukulia sifa kubwa, baada ya kuweka adharani uozo ambao umeghubika katika sekta mbalimbali duniani. Na moja ya uchunguzi huo  ni ambao umewekwa adharani  wiki hii katika soka la Afrika na kuacha maswali mengi likiwamo pengine ndio maana soka  la baadhi ya nchi katika  bara hili kushindwa […]

YANGA SI SAWA KUJITOA KOMBE LA KAGAME

NA CLARA ALPHONCE MASHINDANO ya Klabu Bingwa  kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati maarufu ‘Kagame Cup’  yanayoandaliwa na  Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA),  yanatarajia kufanyika Juni 28 hadi Julai 13 mwaka huu, Dar es Salaam. Wenyeji Tanzania watawakilishwa na timu za Klabu za Simba, Yanga na Azam  ambao ni mabingwa watetezi wa kombe hilo. […]

PIERRE ALISHAFUKUZWA SIMBA KABLA HAJAANZA KAZI

NA EZEKIEL TENDWA HATIMAYE Kocha Mkuu wa Simba, Pierre Lechantre na msaidizi wake, Aymen Hbibi Mohammed, wameamua kufungasha mabegi yao na kuondoka kwenye kambi ya timu hiyo nchini Kenya wanakoshiriki mashindano ya Sportpesa.  Taarifa zinadai kuwa wawili hao wamerejea jijini Dar es Salaam jana walitarajiwa kukutana  na Mohamed Dewji ‘Mo’, na kulikuwa na kila dalili kwamba wataunganisha usafiri wa kurudi […]

KITAULO CHA MANULA CHAZUA ZOGO KENYA

NA ALLY KAMWE KITENDO cha marefa kumlazimisha kipa wa Simba, Aishi Manula,  kukiondoa kitaulo chake wakati wa penalti kimemkera kipa huyo akiwaomba waandaaji wa  mashindano ya SportPesa, kusemea ishu hiyo. Marefa wamekuwa wakimlazimsha Manula kuondoka taulo lake la kufutia jasho  ilipofikia hatua ya kupigiana penalti katika michezo miwili iliyopita. “Nawaomba waandaaji  wa mashindano  hii walifanyie kazi maana haiwezekani ndani ya […]

MANJI KUREJEA YANGA…

NA HUSSEIN OMAR HATMA ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji kama atarejea katika klabu hiyo au la itajulikana kesho kwenye Mkutano Mkuu. Mashabiki wa klabu hiyo ya Yanga wamekuwa na hamasa kubwa tangu jana, baada ya kuwapo kwa taarifa kwamba mfanyabiashara huyo aliyejiuzulu kuiongoza timu hiyo mwaka jana akidai anatoa nafasi kwa wengine kuongoza, huenda akarejea. Pamoja na taarifa […]

PIERRE: DJUMA SI MTU MZURI

NA ALLY KAMWE, NAKURU Kocha Mkuu wa Simba, Pierre Lechantre amemtupia lawama msaidizi wake Masoud Djuma kwa kutokumwambia kama atatimuliwa kwenye klabu hiyo ya Msimbazi. Pierre, ambaye alisusa kukaa benchi la ufundi katika mchezo wa nusu fainali ya SportPesa Super Cup dhidi ya Kakamega Home Boys, amemshutumu msaidizi wake Djuma kwa kujua taarifa za kutimuliwa kwake na kuamua kukaa kimya. […]

TUKUTANE KWA ‘MCHINA’, HAPA KING KIBA, PALE SAMATTA

Lulu Ringo na Johns Njozi, Dar es Salaam          |            Mtanzania anayesukuma kabumbu nchini Ubelgiji katika Timu KRC Genk, Mbwana Samatta na Msanii Ally Kiba, kesho watakamilisha kampeni yao ya ‘Nifuate’ kwa mchezo utakaofanyika Uwanja wa Taifa jijini dare s Salaam saa tisa alasiri. Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa, Juni […]

TIMU ALI KIBA YAKOSA UWANJA WA MAZOEZI

NA JEREMIA ERNEST STAA wa Bongo Fleva, Ali Kiba, amesema mpaka sasa timu yake haijapata uwanja wa mazoezi, licha ya kubaki siku moja kuelekea mchezo wa kuchangia ujenzi wa shule za msingi dhidi ya timu Mbwana Samatta. Akizungumza na waandishi wa habari katika Uwanja wa Taifa jana, Ali Kiba alisema programu ya NIFUATE ambayo inaendesha mchezo huo, utakaopigwa katika dimba […]