Author: Bingwa

KUMBE SELENA GOMEZ BADO HAAMINI KAMA KATEMWA

  NEW YORK, Marekani RAFIKI wa karibu na mpenzi wa zamani wa mwanamuziki, Justin Bieber, Selena Gomez, wanasema kuwa kimwana huyo mpaka leo haamini kama staa huyo atafunga ndoa na mchumba wake wa sasa, Hailey Baldwin. Marafiki walisema juzi kuwa mwimbaji huyo ambaye ni mwigizaji na ambaye alikuwa katika uhusiano na Justin, kwa muda wa miaka nane na kisha wakatengana […]

KERRY KATONA APATA MPENZI MPYA

LONDON, ENGLAND MWIMBAJI na mtangazaji wa vipindi vya runinga, Kerry Katona, kwa mara ya kwanza amefunguka kuingia tena katika uhusiano, baada ya kumpata mpenzi mpya, Ryan Mahoney, tangu wiki sita zilizopita. Mwanamama huyo mwenye watoto watano, alifunguka juzi na akakiri kuwa kwa sasa yupo katika uhusiano na mpenzi huyo mpya baada ya kuwa mpweke kwa muda mwingi. “Ndio nimempata wa […]

RICH MAVOKO AWE SOMO KWA WASANII WANAPOINGIA MIKATABA

NA CHRISTOPHER MSEKENA MWISHONI mwa wiki iliyopita nyota wa Bongo Fleva, Richard Martin ‘Rich Mavoko’, amegonga vichwa vya habari za burudani, baada ya kuonekana kwa mara ya kwanza. Hatua ya kuonekana kwa Rich Mavoko imekuja baada ya kupotea kwa miezi mitatu na Alhamisi iliyopita kufika katika ofisi za Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) zilizopo maeneo ya Ilala kwa ajili […]

MBELGIJI: DOZI ITAANZIA KWA MTIBWA

NA SAADA SALIM BAADA ya miamba ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, kuambulia sare katika mechi zao mbili za kirafiki tangu waliporejea nchini kutoka Uturuki, kocha Patrick Aussems amewashusha presha mashabiki wa timu hiyo na kuwaahidi makubwa kwenye mechi yao dhidi ya Mtibwa Sugar. Tangu Simba iliporejea kutoka Uturuki walikokuwa wameweka kambi yao kwa muda wa takribani wiki mbili, imecheza […]

NAONA USHINDANI LALIGA UTABAKI PALEPALE

Kwa kipindi cha takribani miaka 10, LaLiga imeng’arishwa na Ronaldo, Lionel Messi halafu wanafuatia wachezaji wengineo. Mataji mengi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yapo LaLiga kwa sababu ya Ronaldo na Messi. Ballon d’Or nyingi zipo Hispania kwa sababu ya Barcelona na Real Madrid. Mambo hubadilika. Na ndivyo ilivyo, maisha hutawaliwa na vipindi vingi vya mabadiliko. Ronaldo alicheza Man United, akahamia […]

SIMBA WA WAMVUTA AMUNIKE

NA M WANDISHI WETU KLABU ya Simba ya jijini Dar es Salaam, inatarajia kucheza na timu ya Arusha United, katika mchezo wa kirafiki utakaochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jumatano, huku kocha mkuu wa timu ya Taifa, Emmanuel Amunike, akitarajiwa kushuhudia pambano hilo. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wiki iliyopita lilimtangaza mwanasoka wa zamani, Mnigeria Amunike, kama kocha mkuu akirithi […]