Author: Bingwa

TAJIRI WA MASIKINI -31-

Ilipoishia “Kuna sheria moja iko ndani ya bustani ambayo wote waliopewa nafasi ya kufanya majaribio waliivunja sijui wewe,” aliongea kiasi cha kuniogopesha sana. “Sheria gani dada?” niliuliza kwa woga wa hali ya juu. “Ulipofika eneo la mwisho kabisa bila shaka ulimuona msichana?” aliniuliza.  “Ndio nimemuona.”  “Umemsemesha?”  “Hapana.”  “Una hakika?”  “Ndio hata kuniona hajaniona.”  “Kwanini hukumsemesha?”  “Kwa sababu kazi yangu ilikuwa […]

SUAREZ AKIRI BARCA INAHITAJI STRAIKA

CATALONIA, Hispania STRAIKA wa klabu ya Barcelona, Luis Suarez, amesema ni kawaida kwa klabu yake hiyo kuhusishwa na majina ya washambuliaji mbalimbali, akikiri kwamba wanahitaji nguvu mpya kwenye safu ya mashambulizi. Suarez alipachika mabao matatu na kuipa Barcelona ushindi mnono wa mabao 5-1 dhidi ya Real Madrid wikiendi iliyopita, lakini anaamini kwamba straika mpya anahitajika ili amsaidie kubeba jukumu la […]

SILVA: ARSENAL NAO WAMO MBIO ZA UBINGWA

MANCHESTER, England   KIUNGO wa timu ya Manchester City, Bernado Silva, amezitaja timu nne zenye uwezo wa kuipa upinzani klabu yake kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu England, ikiwemo timu ya Arsenal. Silva na City yake wana jukumu zito la kutetea ubingwa wao msimu huu, baada ya kuweka rekodi ya kipekee msimu uliopita waliponyakua taji la ligi hiyo […]

VIERI AWATOLEA UVIVU WACHEZAJI WA INSTAGRAM

MILAN, Italia   MSHAMBULIAJI wa zamani wa Italia, Christian Vieri, amewaibukia mastraika wa kizazi hiki kwa maisha yao ya ‘kuuza sura’ kwenye mitandao ya kijamii kuliko kunoa viwango vyao vya kupachika mabao. Vieri anakumbukwa kwa kuzitumikia timu za Inter Milan na Juventus, ambako alikuwa akicheka na nyavu kwa kiwango cha kuridhisha. Lakini gwiji huyo alisema kuwa washambuliaji wa miaka ya […]

Vichai kuzikwa kesho, mwanawe aahidi kuendeleza mapambano

LONDON, England   MAZISHI ya mmiliki wa klabu ya Leicester City, Vichai Srivaddhanaprabha, aliyefariki kwenye ajali ya kuanguka na kuungua kwa helikopta yake mwenyewe, yanatarajiwa kuanza wikiendi hii jijini Bangkok kwenye nchi aliyozaliwa ya Thailand. Srivaddhanaprabha, 60, alikuwa ni mmoja wa wahanga watano waliokuwepo kwenye helikopta iliyoanguka katika uwanja wa kupaki magari nje ya Uwanja wa Leicester, King Power, usiku […]

AJIB AMSOMA ZAHERA

NA TIMA SIKILO KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajib, ameweka wazi kuwa hana tatizo na kocha wake, Mwinyi Zahera, ambaye amekuwa akimkosoa mara kwa mara akisema kitendo hicho kinamjenga. Wiki kadhaa sasa Zahera amekuwa akisema kwamba haridhishwi na kiwango cha Ajib na kuweka wazi kuwa angekuwa kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, asingeweza kumwita kwenye kikosi chake. […]

MANJI AITOSA YANGA MAZIMA

JEREMIA ERNEST NA HUSSEIN OMAR Hatimaye  mpango wa kumrejesha Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, kuendelea na shughuli zake kwenye klabu hiyo ya Wanajangwani umekwama rasmi. Manji amekuwa nje ya majukumu yake ya uenyekiti kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa, baada ya kutangaza kujiuzulu nafasi yake lakini wanachama na uongozi walikataa hatua hiyo na kumtaka arejee ila hakufanya hivyo. Lakini katika […]