Author: Bingwa

Kane, Dele wamtia wazimu Pochettino

LONDON, England HALI imezidi kuwa ngumu ndani ya kikosi cha Tottenham, baada ya mastaa wawili wa timu hiyo, Harry Kane na Dele Alli, kukumbwa na majeraha katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya waliocheza dhidi ya Manchester City. Tottenham walishinda bao 1-0 katika mchezo huo, lakini kocha wa kikosi hicho, Mauricio Pochettino, hakufurahishwa na taarifa za nyota hao wawili raia […]

HAWATAAMINI

HUSSEIN OMAR NA EZEKIEL TENDWA KAMA TP Mazembe walidhani watapata mteremko dhidi ya Simba leo kisa wanacheza kwao, wanaweza wakapata aibu ya mwaka kutokana na Wekundu wa Msimbazi walivyotega mitego yao. Simba watakuwa wageni wa wakali hao wa Afrika katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali, utakaochezwa kwenye Uwanja wa TP Mazembe, nchini DR […]

WATACHAKAA

SAADA SALIM WATACHAKAA. Hivyo ndivyo Simba wanavyowachimba mkwara wapinzani wao katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, TP Mazembe ya DR Congo, kuelekea mchezo wao wa Jumamosi ya wiki hii. Ili kukwepa hujuma ya mchezo huo, Simba ni kama wamejibu mapigo ya wapinzani wao hao, baada ya kuamua kwenda kwa ndege ya binafsi na baada tu ya kumalizika kwa mchezo […]

Bodi ya Filamu kuwajengea uwezo, wasanii

Elizabeth Joachim Bodi ya Filamu Tanzania imeandaa kongamano litakalowajumuhisha waigizaji, watayarishaji pamoja na wadau kwa lengo la kuwajengea uwezo wadau waliopo katika sekta ya uigizaji kujitambua, kujithamini na kujitangaza. Akizungumza na wandishi wa habari leo Jumanne Aprili 9 Jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu, Joyce Fissoo amesema kongamano hilo litafanyika Aprili 15 katika ukumbi wa Suma […]

Mkopi: Ndanda tutakazia kila timu

NA TIMA SIKILO MSHAMBULIAJI wa Ndanda FC, Mohammed Mkopi, amesema wataendelea kukaza katika michezo yao yote inayofuata ili kujiweka kwenye nafasi nzuri kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu. Mkopi ametoa kauli hiyo baada ya timu yao kushinda bao 1-0 dhidi ya wapinzani wao Coastal Union, mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara. Akizungumza na BINGWA […]

Kagere awatoa hofu mashabiki Simba

NA TIMA SIKILO MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere, amewatoa hofu wapenzi wa soka kuwa wasiwe na hofu kwani kupata ushindi Lubumbashi, Congo inawezekana. Simba juzi walitoka suluhu dhidi ya TP Mazembe, kwenye mchezo wao wa robo fainali uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar res Salaam. Mchezo wao wa marudiano utakuwa Aprili 13, mwaka huu nchini Congo kwenye Uwanja wa […]