Author: Bingwa

Salah: Bado mechi nne tuwe mabingwa

MERSEYSIDE, England WINGA wa Liverpool, Mohamed Salah, anaamini kuwa timu yake wakishinda michezo minne iliyobaki, wanaweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England msimu huu licha ya kupata ushindani mkubwa kutoka kwa Manchester City. Salah alifunga bao la pili katika mchezo wao wa juzi dhidi ya Chelsea kwa shuti kali na kufanya mbio za ubingwa wa ligi hiyo kuwa ngumu […]

WANATOKA

CATALUNYA, Hispania USIKU wa Ulaya umerejea tena, moto ni uleule katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa vigogo wa nchini England, Manchester United, kushuka uwanjani leo watakapokuwa wageni wa Barcelona. Wiki iliyopita timu hizo zilipokutana, Barcelona walifanikiwa kushinda bao 1-0 katika Uwanja wa Old Trafford baada ya beki wa Manchester United, Luke Shaw, kujifunga. Huku mchezo wa […]

Aussems:Uzoefu kimataifa kuipa ubingwa Simba

*Adai mwendo wa pointi tatu unaanzia kwa Coastal Union kesho OSCAR ASSENGA, TANGA KOCHA wa timu ya Simba, Patrick Aussems, ametamba kuwa kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika wamepata uzoefu mkubwa na sasa mpango wao ni kusaka pointi tatu kila mechi kuanzia mchezo wao wa kesho dhidi ya Coastal Union. Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mazoezi ya […]

WANATOKA

W*Solskjaer apanga kufanya maajabu Camp Nou, kocha Barca ampiga kijembe *Ajax ‘full’ mzuka unaambiwa, Juve kukomaa mwanzo-mwisho CATALUNYA, Hispania USIKU wa Ulaya umerejea tena, moto ni uleule katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa vigogo wa nchini England, Manchester United, kushuka uwanjani leo watakapokuwa wageni wa Barcelona. Wiki iliyopita timu hizo zilipokutana, Barcelona walifanikiwa kushinda bao 1-0 […]

Leo ni zamu ya Guinea na Cameroon, Morocco na Senegal, Azam Complex Chamazi

Lulu Ringo, Dar es Salaam Baada ya ufunguzi wa mashindano ya Afcon U-17 kuanza kwa mafanikio jana kwa timu ya Nigeria na Angola kwa ushindi kwenye kundi lao A ambapo Nigeria amemfunga Tanzania 4-1 na Angola amemfunga Uganda 1-0, mashindano hayo yanaendelea leo kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini hapa. Mechi za leo za kundi B mchezo wa awali […]

Waziri Mkuu: Kuanzia leo hakuna kiingilio kwa Watanzania

Lulu Ringo, Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametangaza kwamba kuanzia leo Watanzania wataingia kushuhudia mashindano ya AFCON U-17 bila kulipia gharama yeyote. Kauli hiyo imetolewa jana, Aprili 14, 2019 wakati alipofungua michuano hiyo iliyoanza kuchezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam ambapo katika mchezo wa ufunguzi, Tanzania (Serengeti Boys) walifungwa bao 5-4 dhidi ya Nigeria na mchezo […]

Khadija Yusuph arudi kundini kuokoa Jahazi

NA JEREMIA ERNEST MWANAMUZIKI nyota wa taarabu nchini, Khadija Yusuph, ameamua kurudi tena katika bendi pendwa ya muziki huo, Jahazi Modern Taarab ili kuiweka tena kwenye ramani kama ilivyokuwa zamani. Akizungumza na Papaso la Burudani jana, Khadija alisema anarudi kundini kuiokoa bendi ya Jahazi ambayo imekuwa ikishuka kadiri siku zinavyokwenda toka mwasisi wake Mzee Yusuph aache muziki. “Tumerudi katika bendi […]

TP MAZEMBE 4-1 SIMBA…Lubumbashi ni mwanzo wa safari mpya ya Simba Afrika

NA AYOUB HINJO ILIKUWA siku nyingine kwa mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, kucheza mchezo wao wa pili wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Katika mchezo huo, zilikutana timu mbili zenye malengo tofauti, wenyeji walihitaji kusonga mbele ili kuweka hai matumaini ya kutwaa taji hilo kubwa, huku […]

Paul Makonda shujaa wa Taifa Stars aliyehamishia nguvu zake Serengeti Boys 

NA JONATHAN TITO FEBRUARI mwaka huu, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), lilitangaza kamati ya maalumu kwa ajili ya kuhamasisha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2019), itakayofanyika Misri. Kamati hiyo iliyoteuliwa na TFF ilikuwa na watu 14, huku Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akiwa mwenyekiti. Wakati […]

Liver, Man City zazidi kunyukana ubingwa EPL

LONDON,England TIMU za Liverpool na Manchester City zimeendelea kuchuana vikali katika vita ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu England, baada ya jana kila moja kuondoka na ushindi  dhidi ya wapinzani wao. Michezo hiyo iliyopigwa katika viwanja vya Selhurst Park na Anfield, Man City wakiwa ugenini waliweza kuondoka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Crystal Palace, huku Liver wakiwa nyumbani […]