Author: Bingwa

Hakikisha unayasahau haya uingiapo katika ndoa

KUOA ama kuolewa ni dalili ya mapenzi ya kweli. Ndiyo, wapo watu wanaingia kwenye ndoa bila kupendana, hiyo ni kesi nyingine. Ila uhalisia ni kwamba watu wanaopendana na kuhitajiana kwa dhati katika maisha yao, wanatakiwa kuyaonesha hayo kwa kufunga ndoa. Ukifunga ndoa maana yake unakubali kwa namna yoyote kwamba fulani ni mtu muhimu kwako na utakuwa mwaminifu na kumpa thamani […]

Barca: Valverde ataendelea kuwa hapa

CATALUNYA, Hispania TAARIFA iliyotolewa na Barcelona kupitia rais wao, Josep Bartomeu, imedai kuwa hawana mpango wa kuachana na kocha wao, Ernesto Valverde. Si tu Valverde atakuwa kocha wa Barca msimu ujao, pia ni kocha wa mipango ya muda mrefu ya klabu hiyo, kwa mujibu wa Rais Bartomeu. Valverde alikuwa akiinoa Athletic Bilbao kabla ya kuitwa Camp Nou msimu wa 2017-18 […]

Dili zinazosubiriwa kutikisa usajili kiangazi

LONDON, England HIKI ni kipindi kibaya sana kwa makocha na mabosi wa klabu mbalimbali barani Ulaya, hasa zile zinazohaha kuwazuia mastaa wake wanaotolewa macho na vigogo wengine. Hata hivyo, hakuna namna ya kutenganisha kipindi hiki na tetesi ambazo kwa upande mwingine zina mvuto mkubwa kwa mashabiki wanaotaka kujua wachezaji wanaowaniwa na timu zao. Kwa upande mwingine, ni kawaida kwa kila […]

Mpira Pesa Original yajipanga kutengeneza bonge la ofisi

WINFRIDA MTOI MPIRA Pesa ni miongoni mwa matawi ya mashabiki wa Klabu ya Simba yenye nguvu kubwa hapa nchini kutokana na ukongwe wao ikiwemo kushiriki mambo mbalimbali yanayohusu timu. Tawi hilo limekuwa na nguvu na ushawishi mkubwa kwa Wanasimba kutokana na wanachama wake kuwa na msimamo wa kufanya mambo yao bila kuendeshwa na mtu. Tumeshuhudia mara kwa mara, Mpira Pesa […]

Samatta: Ubingwa muhimu kuliko kiatu cha dhahabu

EZEKIEL TENDWA NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta anayekipiga na timu ya Genk ambayo juzi usiku ilitwaa ubingwa Ligi Kuu ya Ubelgiji, amesema ushindi huo ni muhimu kuliko kiatu cha dhahabu. Samatta mwenye mabao 23 anawania kiatu cha dhahabu na Hamdi Harbaoui raia wa Tunisia anayeichezea Zulte Waregem, ambaye amemzidi mabao mawili. Hata hivyo, Samatta anaweza akampiku Harbaoui katika mchezo […]

Ajib atoweka mazoezini Yanga

HUSSEIN OMAR JANA kikosi cha Yanga kilipiga tizi la kufa mtu katika Uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini, huku kikiwakosa nyota wake wanne wa kikosi cha kwanza,  Mrisho Ngassa, Ibrahimu Ajib, Andrew Vicent ‘Dante’, Juma Makapu na Heritier Makambo. Yanga wanatarajia kuvaana na Mbeya City, Jumatano ijayo katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaopigwa Uwanja wa Uhuru, jijini Dar […]

Okwi: Ubingwa Jumanne

SAADA SALIM MSHAMBULIAJI wa Simba, Emmanuel Okwi, amesema kwa sasa wanapambana kuhakikisha wanashinda michezo yao miwili ukiwamo wa Jumanne inayokuja dhidi ya Singida United ambao utawafanya kutangaza ubingwa moja kwa moja. Simba wamebakiwa na michezo minne mkononi, lakini wanahitaji pointi tano ili kutangaza ubingwa, hivyo ushindi dhidi ya Ndanda katika mchezo wa kesho na ule wa Jumanne utawafanya wawe wamekusanya […]

… Tariq Seif aomba jezi ya Makambo

MWANDISHI WETU BAADA ya taarifa za timu ya Horoya FC ya Guinea kumsajili nyota wa Yanga, Heritier Makambo, mshambuliaji wa Biashara United, Tariq Seif ‘Shamba Boy’, ameomba kupewa jezi hiyo ya nyota wa DR Congo. Picha za Makambo zimeonekana kwenye mtandao wa klabu ya Horoya FC baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu ya kuichezea timu hiyo. Habari hizo za […]

Sakata la Makambo…Msolla amkalia kooni Zahera

ZAITUNI KIBWANA sakata la usajili wa Heritier Makambo kutua Horoya FC limechukua taswira mpya baada ya Mwenyekiti wa Yanga, Mshindo Msolla, kusema kocha wa timu hiyo ya Jangwani, Mwinyi Zahera, atapaswa kuelezea kilichotokea kwa mshambuliaji huyo. Mshambuliaji huyo wa DR Congo alisajiliwa na Yanga msimu huu lakini juzi alisaini mkataba wa miaka mitatu kuichezea Horoya ya Guinea na kuzua taharuki […]

De Rossi ; Nahodha shupavu anayeacha historia nzito AS Roma

ROME, Italia MSIMU huu umekuwa mgumu kwa timu ya AS Roma, ingawa ni jambo linalotegemewa katika mchezo wa soka. Kitu pekee ambacho Waitaliano hao hawakukitarajia ni kuondoka kwa nahodha wao, Daniele De Rossi. De Rossi ambaye amedumu na ‘Giallorossi’ hao kwa muda wa miaka 18, akiitumikia katika michezo zaidi ya 600, alitangaza kuwa ataiacha klabu yake hiyo ifikapo mwishoni mwa […]