Author: Bingwa

TRBA YAWAONYA WAAMUZI WASIOFUATA SHERIA

NA OSCAR ASSENGA, TANGA CHAMA cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Tanga (TRBA), kimetishia kuwapokonya leseni waamuzi watakaopindisha sheria na kutoa upendeleo kwa baadhi ya timu katika michuano ya Ligi ya Mkoa itakayoanza Aprili 20, mwaka huu. Ligi hiyo itachezwa kwa mfumo wa nyumbani na ugenini na itashirikisha timu tano ambazo zitashindana ili kumpata bingwa wa mkoa ambaye baadaye atashiriki […]

KOCHA AELEZA CHANZO MABONDIA KUCHEMSHA MADOLA

NA GLORY MLAY KOCHA wa timu ya Taifa ya ngumi hapa nchini ambaye ni raia wa Kenya, Moses Oyombi, amesema mabondia wa Tanzania wanahitaji kucheza mapambano mengi ya kimataifa ili kujijengea uwezo zaidi. Akizungumza na BINGWA jana, Oyombi, alisema changamoto ya kukosa mapambano ni chanzo cha kushindwa kimataifa, kwani kwa kucheza na mabondia wazoefu watajijenga na kuimarisha viwango vyao. “Moja […]

WANAMICHEZO WANAVUNA WALICHOKIPANDA JUMUIYA YA MADOLA

WANAMICHEZO wa Tanzania wameendelea kufanya vibaya katika michezo ya Jumuiya ya Madola inayoendelea nchini Australia. Tayari mabondia wanne ambao ni Selemani Kidunda, Haruna Swanga, Hezra Paul  na Kassim Ngutwike wameiaga michezo hiyo. Mabondia walipigwa mwanzoni na kushindwa kufuzu hatua iliyofuata. Kutokana na kutolewa kwa mabondia hao, matumaini ya wanamichezo wetu kurejea na medali ni madogo. Pamoja na  mabondia kufanya vibaya, […]

UZINDUZI MISS TANZANIA TUMAINI JIPYA KWA WAREMBO

NA CHRISTOPHER MSEKENA MWISHONI mwa wiki iliyopita Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, alizindua mashindano makubwa ya urembo nchini, Miss Tanzania, ikiwa ni siku kadhaa zimepita toka Kampuni ya The Look ichukue majukumu ya kuyasimamia. Uzinduzi huo ulifanyika juzi katika Ukumbi wa Makumbusho, Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wadau wa urembo, Baraza la Sanaa la […]

AUBAMEYANG AVUNJA REKODI NYINGINE ARSENAL

LONDON, England STRAIKA, Pierre-Emerick Aubameyang, ameendeleza balaa lake la kuvunja rekodi tangu ajiunge na Arsenal majira ya baridi yaliyopita. Staa huyo alivunja rekodi hiyo nyingine juzi baada ya kufunga bao katika mchezo wa Ligi Kuu England, ambao waliibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Southampton. Kabla ya kuweka rekodi hiyo ya juzi, mwishoni mwa wiki iliyopita, Aubameyang, alikuwa mchezaji […]

MCHEZAJI YANGA AKABIDHIWA TIMU KENYA

NA MWANDISHI WETU ALIYEKUWA straika wa Yanga, John Baraza, amechaguliwa kuifundisha timu ya Sofapaka maarufu Batoto Ba Mungu, inayoshiriki Ligi Kuu Kenya. Rais wa Sofapaka, Elly Kalekwa, alinukuliwa jijini Nairobi, Kenya, jana akisema Baraza anachukua nafasi ya Mganda Sam Ssimbwa aliyetangaza kujiuzulu mwishoni mwa wiki, baada ya timu yake kufungwa mabao 2-1 na Thika United katika mchezo wa ligi. “Kocha […]

CHAMBUA AMPA NENO AJIB

>>Akiri akilifanyia kazi, nyota huyo atapendwa kuliko mchezaji yeyote Yanga NA ADAM MOHAMMED (DSJ) MCHEZAJI wa zamani wa Yanga, Sekilojo Chambua, amemtaka staa wa timu hiyo, Ibrahim Ajib, kubadilika ili kuwa na madhara zaidi kwa timu pinzani hali inayoweza kumfanya kuwa ‘Mfalme wa Jangwani’. Akizungumza na BINGWA Dar es Salaam jana, Chambua alisema katika mchezo uliopita wa Kombe la Shirikisho […]

YANGA WATANGAZA VITA

ZAINAB IDDY NA WINFRIDA MTOI YANGA imetangaza vita kuelekea mchezo wao dhidi ya Singida United kesho, huku mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara wakiweka wazi jinsi walivyokerwa na wapinzani wao hao kuwakamia walipokutana nao hivi karibuni, huku wakilegeza dhidi ya Simba na Mtibwa Sugar. Mchezo huo wa kesho unatarajiwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, huku Yanga […]