googleAds

Diamond apata mtoto wa nne

NA MWANDISHI WETU

NYOTA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, amepata mtoto wa nne baada ya mpenzi wake, Tanasha Donna, kujifungua mtoto wa kiume katika hospitali ya Agha Khan, Dar es Salaam mapema jana.

Akizungumza na Papaso la Burudani jana, mama Diamond alithibitisha kupata mjukuu mwingine.

“Nashukuru, nipo hapa hospitali ya Agha Khan, Tanasha amejifungua salama mtoto wa kiume,” alisema. Tayari Diamond ana watoto wanne ambao ni Tiffah na Nillan aliozaa na Zari The Boss Lady, Daylan aliyezaa na Hamisa Mobetto na huyu


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*