googleAds

Andy Ruiz kivuruge aisee

NEW YORK, Marekani

BONDIA wa uzito wa juu, Andy Ruiz Jr, amegomea pambano lao la marudiano na Anthony Joshua ‘AJ’ kufanyika Saudia Arabia.

Ruiz alivunja ukimya huo baada ya kutangazwa kuwa pambano hilo litafanyika Desemba 7, mwaka huu, nchini humo.

Taarifa ziliripoti kuwa bondia huyo anataka kuona pambano hilo likipelekwa Marekani.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*