Konki, Konki, Konki Master

NA KYALAA SEHEYE

Baada ya kusaka kiki kwa nguvu zote mambo yameendelea kujipa, baada ya kupata dili la Wasafi Festival sasa anaibukia nyumbani kwao Shinyanga kwenye Tamasha la Nyama Choma litakalofanyika kesho kwenye Uwanja wa Shycom pamoja na Sajna, H Baba na wengineo.

 


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*