Cardi B awa gumzo Met Gala 2019

NEW YORK, MAREKANI

VAZI lenye mapambo mfano wa chuchu alilolivaa rapa, Cardi B, katika hafla maalumu ya Met Gala 2019 iliyofanyika hivi karibuni New York, Marekani, limekuwa gumzo katika ulimwengu wa mitindo.

Cardi B alitinga katika hafla hiyo ya maonyesho ya mavazi ambayo hufanyika kila mwaka kwa lengo la kuchangia fedha katika makumbusho ya The Metropolitan akiwa na gauni hilo rangi ya damu ya mzee linalokadiriwa kuwa limetengenezwa kwa Sh bilioni 1.1.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*